Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

Sawa kama hutarajii kukopa bank za tanzania maisha Yako yote sawa ila kama utahitaji kukopa Kaa ukijua hao jamaa washapeleka record zako sababu uliweka nida watanzania wengi hawajui hii kitu na hayo madeni yanapanda Kwa riba Kila mda mliokubaliana
Pole lazimana wewe ni mmoja wa wenye app au laa unafanya nao kazi. Binafsi sijawakopa ili ni wasumbufu balaa na mbaya zaidi wanadhalilisha sana watu. wanatuma msg kwa watu wote kwenye simu yako
 
Kuna hawa wanai

Kuna hawa wanaitwa BORA PESA,wadhalilishaji wakubwa.
 
H
Hii utaona athari yake Kama utaamua kwenda kukopa bank
Hamna ishu kama hiyo mm nilipita na hela za bongopesa, mkopo wako nk kama 350k hivi na bado nimeweza kukopa CRDB hivi karibuni. Inshort hawatambuliki BOT na wanakwepa kodi.
 
Hao ni matapeli tu jaribu uwaulize wakuonyeshe ofisi zao uone kama watakuonyesha watabaki wanasema tu ooh ofisi iko Posta ukimuuliza posta wapi anasema posta hawataki hata ujue wako wapi hapo ndo utajua hao ni matapeli.
 
Hawa jamaa wanapiga simu kudai hadi usiku wa saa saba ! ni washenzi sana walimpigia mke wangu usiku huo niliwatukana sana hawana adabu kabisa na siku hiyo ndo ilikuwa siku ya sita kuamkia ya saba.Walianza kudai toka siku ya tano wanajidai ukilipa leo utaongeza kiwango cha mkopo na pia utalipa kwa mwezi sio wiki tena ! Kumbe wanataka tu ulipe wapate commision.
 
Hamna ishu kama hiyo mm nilipita na hela za bongopesa, mkopo wako nk kama 350k hivi na bado nimeweza kukopa CRDB hivi karibuni. Inshort hawatambuliki BOT na wanakwepa kodi.
Ungejaribu Exim au Equity
 
Hivi kweli wanaweza kuaccess number za simu yangu
 
Walikusumbua tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…