desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Sep 18, 2024 #301 Bani Israel said: nimekuwa nawalipa sana tu ila baada ya kunidhalilisha nikaamua tuonyeshane sasa. Click to expand... Mimi walinikopesha laki 245000 wakaninipa laki 218000 nikajua liba ni 26000 dah kuja kupiga hesabu naludisha 299000 nikaona wamenifanyia uhuni nikaamua kuwaburuza kama kilo 5
Bani Israel said: nimekuwa nawalipa sana tu ila baada ya kunidhalilisha nikaamua tuonyeshane sasa. Click to expand... Mimi walinikopesha laki 245000 wakaninipa laki 218000 nikajua liba ni 26000 dah kuja kupiga hesabu naludisha 299000 nikaona wamenifanyia uhuni nikaamua kuwaburuza kama kilo 5
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Sep 18, 2024 #302 kingundya said: H Hii utaona athari yake Kama utaamua kwenda kukopa Click to expand... HIMARS said: Hakuna mikopo ya simu inayopelekwa credit info, inayopelekwa ni Timiza, Songesha Click to expand... Timiza ya Airtel naapa siwezi wadhurumu ni dhambi unapewa 30000 unarudisha lipa ya 5000 kwa mwezi ukiwadhulumu we ni tapeli
kingundya said: H Hii utaona athari yake Kama utaamua kwenda kukopa Click to expand... HIMARS said: Hakuna mikopo ya simu inayopelekwa credit info, inayopelekwa ni Timiza, Songesha Click to expand... Timiza ya Airtel naapa siwezi wadhurumu ni dhambi unapewa 30000 unarudisha lipa ya 5000 kwa mwezi ukiwadhulumu we ni tapeli
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Sep 18, 2024 #303 Bani Israel said: View attachment 3029232 Click to expand... ππππππππ
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,550 Reaction score 39,949 Sep 18, 2024 #304 Annie X6 said: Walikusumbua tena? Click to expand... Walisumbua baadae wakaacha...
kingundya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 2,000 Reaction score 3,352 Sep 23, 2024 #305 desayi said: Timiza ya Airtel naapa siwezi wadhurumu ni dhambi unapewa 30000 unarudisha lipa ya 5000 kwa mwezi ukiwadhulumu we ni tapeli Click to expand... Mambo huwa yanakuwa magumu wakati wa mwisho wwa kurudisha umefika na hapa ndio unajiona kabisa unakuwa tapeli
desayi said: Timiza ya Airtel naapa siwezi wadhurumu ni dhambi unapewa 30000 unarudisha lipa ya 5000 kwa mwezi ukiwadhulumu we ni tapeli Click to expand... Mambo huwa yanakuwa magumu wakati wa mwisho wwa kurudisha umefika na hapa ndio unajiona kabisa unakuwa tapeli