Pale ninaposhinda nyumbani halafu Sina kazi ya kufanya

Pale ninaposhinda nyumbani halafu Sina kazi ya kufanya

Mjini kazi zipo mkuu kwenye kampuni kama wewe ni fundi uhakika ni 100%

Changamoto? Malipo na kazi haviendani.

Fikiria tofali anakuuzia 250 kujenga 🤣
Bora ushinde ndani unapiga nyeto
Kweli mkuu hata huku maeneo misugusugu kazi zipo viwandani malipo ndohivo Yani hizi kazi ndugu shida
 
Back
Top Bottom