Pale ninaposhinda nyumbani halafu Sina kazi ya kufanya

Pale ninaposhinda nyumbani halafu Sina kazi ya kufanya

Mjini kazi zipo mkuu kwenye kampuni kama wewe ni fundi uhakika ni 100%

Changamoto? Malipo na kazi haviendani.

Fikiria tofali anakuuzia 250 kujenga 🤣
Bora ushinde ndani unapiga nyeto
Na mambo ya square meter kwa 700 hadi unachoka
 
hivi ndio vile vipande mnavyovunjaga makusudi saiti mkuu?
Sidhani kama Kuna fundi atavunja Tiles makusudi.
Tiles huvunjika wakati wa kupakia na kushusha kwenye usafiri (hapo fundi hayupo)

Pia hivyo vipande nimenunua sijavitoa saiti

Kama una vipande havina kazi na Kuna eneo limekaa hovyo nicheki nije nikuwekee sawa +255624254690
 
Nafsi inanituma nikupigie tu ,wewe jamaa unajua kujitangaza natamani usiwe na tabia za mafundi wenzako ila kwa kazi zako nakuona uko vizuri lazima nikupigie kabla ya mwaka kuisha save hii kaka .
Hongera sana
 
Karibu mkuu
 
Back
Top Bottom