Unaongezewa sifuri kisha unauziwa mali mbovuWatanzania wengi kwenye uaminifu ni zero.
Cha ajabu kabisa ukiwa sio mtu wa kupenda kuongeza sifuri mbele wanakuona huna akili. Wenye akili ni wale wenye mbinu kadhaa za kujiongeza kwa wizi.
Tuna safari ndefu sana katika issue ya maadili,Unaongezewa sifuri kisha unauziwa mali mbovu
HahahaKama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF
Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk
Sasa katika cycles zako za marafiki unaona fulani ndio anafaa.. Wewe kutokana na kutokuwa mjuzi ama kukosa muda ama kuwa mbali unaamua kumtumia yeye
Huyu mtu badala ya kuwaza uaminifu wako kwake yeye anaanza kukuwekea password😂
Cha kuuzwa buku atakipandisha mpaka buku3 I'll ushuke mpaka buku 2 atengeneze buku na bado hapo utamtoa...😂
Basi mimi niko unique sana, kuna naongeza hadi pesa zangu! Kuassist mwana apate anachopenda.Kama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF
Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk
Sasa katika cycles zako za marafiki unaona fulani ndio anafaa.. Wewe kutokana na kutokuwa mjuzi ama kukosa muda ama kuwa mbali unaamua kumtumia yeye
Huyu mtu badala ya kuwaza uaminifu wako kwake yeye anaanza kukuwekea password😂
Cha kuuzwa buku atakipandisha mpaka buku3 I'll ushuke mpaka buku 2 atengeneze buku na bado hapo utamtoa...😂
Mkuu, umerejea jukwaani!!Tatizo letu sisi ni tumejawa na Ubinafsi, Tamaa na Ujinga..
Binafsi nimeshatapeliwa sana na Mungu ni mwema, sijawahi kuanguka...
Na Most of them; Karma serves them very severe, na bado wanakuona kama ndiye umewakosea..
Brother watu kama nyie mpo Ila kwa uchache mno.. Na haya mambo yalivyo ya ajabu ukitenda kwa usahihi na kwa uaminifu hata mbingu zitasema💪🏿Basi mimi niko unique sana, kuna naongeza hadi pesa zangu! Kuassist mwana apate anachopenda.
Mfano wiki kadhaa hapo nilikuwa mahali mwana akaniomba nimnunulie tablet kiukweli kwa pesa ya bongo ilikuwa inafika 320k mshikaji akatuma 280k akijua hiyo niliyomtajia kuna commission yangu 😂😂.
Sasa nilichofanya niliongezea hela yangu, na nilihakikisha anajua kuwa nimeongeza hela, baada ya mimi kujua yeye pia alikuwa ameombwa na mtu ambaye alikuwa amempa zaidi ya hiyo.
Alijieleza sana 😂😂
Sema maisha ndivyo yalivyo!
Kabisa kabisa!!Brother watu kama nyie mpo Ila kwa uchache mno.. Na haya mambo yalivyo ya ajabu ukitenda kwa usahihi na kwa uaminifu hata mbingu zitasema💪🏿
❤️❤️ nipo kama wewe issue za kuzidisha sifuri siweziBasi mimi niko unique sana, kuna naongeza hadi pesa zangu! Kuassist mwana apate anachopenda.
Mfano wiki kadhaa hapo nilikuwa mahali mwana akaniomba nimnunulie tablet kiukweli kwa pesa ya bongo ilikuwa inafika 320k mshikaji akatuma 280k akijua hiyo niliyomtajia kuna commission yangu 😂😂.
Sasa nilichofanya niliongezea hela yangu, na nilihakikisha anajua kuwa nimeongeza hela, baada ya mimi kujua yeye pia alikuwa ameombwa na mtu ambaye alikuwa amempa zaidi ya hiyo.
Alijieleza sana 😂😂
Sema maisha ndivyo yalivyo!
Oh sawa darling tuna endana kabisa!!❤️❤️ nipo kama wewe issue za kuzidisha sifuri siwezi
Ila watu wakijua hiyo weakness wanitumia tena vibaya
Twin😅Oh sawa darling tuna endana kabisa!!
Mungu atubariki sana.
Mbongo leo akisikia ripoti ya CAG jinsi pesa zilivyoliwa analia lia kuhusu ufisadi na wakati huo huo kukiwa na waziri ambaye hajaamua kutumia vibaya madaraka anaonekana bwege.Watanzania wengi kwenye uaminifu ni zero.
Cha ajabu kabisa ukiwa sio mtu wa kupenda kuongeza sifuri mbele wanakuona huna akili. Wenye akili ni wale wenye mbinu kadhaa za kujiongeza kwa wizi.
No wonder hata huu ufisadi tulionao umeanza from the grassroot.