Mkuu kuna watu wanazingua sana sema nini nilichojifunza usitangulize kuwapa hela kwanza kabla hujapata nusu ya kile unachokitakaHahahaha.. Hawakumuonja kweli Kama anakufaa???😀🙌🏿
Nipo Mkuu wangu..Mkuu, umerejea jukwaani!!
Hakika tumekuwa wazee sasa.
inasikisha sana !Huyu mtu badala ya kuwaza uaminifu wako kwake yeye anaanza kukuwekea password😂
ChaiKama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF
Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk
Sasa katika cycles zako za marafiki unaona fulani ndio anafaa.. Wewe kutokana na kutokuwa mjuzi ama kukosa muda ama kuwa mbali unaamua kumtumia yeye
Huyu mtu badala ya kuwaza uaminifu wako kwake yeye anaanza kukuwekea password😂
Cha kuuzwa buku atakipandisha mpaka buku3 I'll ushuke mpaka buku 2 atengeneze buku na bado hapo utamtoa...😂
Hakuna kosa mtu kuombwa na akakosa mbona muombaji yeye hanaSahihi kabisa na wengine huombwa katika muda mbovu hana kitu maskini🤔😪 Ila anashindwa kusema na kuishia kusema subiri kidogo kuna ishu naisikilizia😭
Yes mkuuSema ndio hivyo, wema usizidi uwezo
Bro,hili ni tatizo kubwa sana.Mimi limenikuta kwenye ununuzi wa vitu vingi tu na kwenye mambo mengi.Kuna wakati najenga nyumba hapo mikocheni jirani na tpdc mie wakati huo nikiishi ughaibuni,bro acha tu,nikiyaelezea roho inauma mnoKama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF
Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk
Sasa katika cycles zako za marafiki unaona fulani ndio anafaa.. Wewe kutokana na kutokuwa mjuzi ama kukosa muda ama kuwa mbali unaamua kumtumia yeye
Huyu mtu badala ya kuwaza uaminifu wako kwake yeye anaanza kukuwekea password😂
Cha kuuzwa buku atakipandisha mpaka buku3 I'll ushuke mpaka buku 2 atengeneze buku na bado hapo utamtoa...😂
Walikuwa wanakuongezea sifuri za kutosha?Bro,hili ni tatizo kubwa sana.Mimi limenikuta kwenye ununuzi wa vitu vingi tu na kwenye mambo mengi.Kuna wakati najenga nyumba hapo mikocheni jirani na tpdc mie wakati huo nikiishi ughaibuni,bro acha tu,nikiyaelezea roho inauma mno