Pale rafiki unayemwamini anapokugeuza fursa huku akikuona wewe bwege na mshamba

Huu ndio uhalisia, ukiwa mtu uliyenyooka si ajabu ukawa exploited kwa sababu unaonakena "Yule hana noma, chochote tu anachukua".
 
Sema ndio hivyo, wema usizidi uwezo
 
... nimepata vihela vyangu vidogo nataka kununua kiji'plot'! ... ninampa rafiki yangu mpendwa kazi hii anisaidie tuhela twangu tusijeishia kikaangoni, cha ajabu kajipanga yeye na madalali wengine wawili na kila mtu kapanda millioni kwenye bei! ... KWANINI MAMBO YASINISHINDE?
😅 MSWAHILI BWANA!!!
 
Ubaya ni pale yeye mwenyewe akifanyiwa vivyo hivyo na rafiki yake hatofurahia....

Tuna safari ndefu sanaa😂😂
Mwizi aibiwi, ulishawahi kushuhudia kilio chake akiibiwa? Ni msiba 🙌
 
Mshana Jr mbona kicheko?
Ni kweli nipo hivyo kuomba kwenyewe mpka maji yazidi unga sembuse kuzidisha sifuri siwezi
Sahihi kabisa na wengine huombwa katika muda mbovu hana kitu maskini🤔😪 Ila anashindwa kusema na kuishia kusema subiri kidogo kuna ishu naisikilizia😭
 
Hahahaha😭😭😭
 
Mi walinidalalia hadi mke wa kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…