Pale rafiki unayemwamini anapokugeuza fursa huku akikuona wewe bwege na mshamba

Chai
 
Sahihi kabisa na wengine huombwa katika muda mbovu hana kitu maskini๐Ÿค”๐Ÿ˜ช Ila anashindwa kusema na kuishia kusema subiri kidogo kuna ishu naisikilizia๐Ÿ˜ญ
Hakuna kosa mtu kuombwa na akakosa mbona muombaji yeye hana

Issue ni muombwaji kutoa matarajio hewa hii hua inamiza unapoweka matarajio kisha yakaenda kombo

Japo maisha lazima yaende
 
Bro,hili ni tatizo kubwa sana.Mimi limenikuta kwenye ununuzi wa vitu vingi tu na kwenye mambo mengi.Kuna wakati najenga nyumba hapo mikocheni jirani na tpdc mie wakati huo nikiishi ughaibuni,bro acha tu,nikiyaelezea roho inauma mno
 
Walikuwa wanakuongezea sifuri za kutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ