Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kuishi kwa uhasama na jirani zako au kwa kuonesha kwamba wewe ni mbabe daima kuna madhara makubwa.
Na hapa ndicho ninachopenda kukitolea taarifa kufuatia tangazo la kundi la Palestine Islamic Jihad (PIJ) kusema limeazimia kupeleka wapiganaji nchini Lebanon kupitia tawi lake la Syria ili kuiongezea nguvu Hizbullah.
Tangazo hilo lililonukuliwa na aljazeera si rafiki sana kwa Israel ambayo imeshaanza kutoa dalili za kuchoka na vita vya miezi 8 na Hamas.
Hali inaweza kuwa mbaya zaidi iwapo makundi ya Iraq nayo na wengine katika nchi jirani wakitoa matangazo mfano kama huo.