Palestine Islamic Jihad kupeleka wapiganaji Lebanon kuongeza nguvu iwapo Israel itatangaza vita vya wazi na Hizbullah

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Kuishi kwa uhasama na jirani zako au kwa kuonesha kwamba wewe ni mbabe daima kuna madhara makubwa.

Na hapa ndicho ninachopenda kukitolea taarifa kufuatia tangazo la kundi la Palestine Islamic Jihad (PIJ) kusema limeazimia kupeleka wapiganaji nchini Lebanon kupitia tawi lake la Syria ili kuiongezea nguvu Hizbullah.

Tangazo hilo lililonukuliwa na aljazeera si rafiki sana kwa Israel ambayo imeshaanza kutoa dalili za kuchoka na vita vya miezi 8 na Hamas.

Hali inaweza kuwa mbaya zaidi iwapo makundi ya Iraq nayo na wengine katika nchi jirani wakitoa matangazo mfano kama huo.
 
Waislamu mnadharau na israel hivi hamjui israel ni taifa la nuklia na Teknoloji unawasifia hao magaidi wanao watumia raia kama ngao mtaiponza lebanon nyie muda sio mrefu mtalia mkiomba ceasefire kama gaza mkiona walebanon wanateketezwa
 
UNAJUA lABANON WAKIRISTO WAPO WENGI, KWA HIVYO UNO HAITAKUBALI
 
Ndugu yenu huko ana enjoy mabikra 72 sasa hivi..
 
Propaganda tu hizi...
 
Waislamu mnadharau na israel hivi hamjui israel ni taifa la nuklia na Teknoloji unawasifia hao magaidi wanao watumia raia kama ngao mtaiponza lebanon nyie muda sio mrefu mtalia mkiomba ceasefire kama gaza mkiona walebanon wanateketezwa
Kinachoweza kutumika ni hizo silaha nyingine za moto.Nyuklia ikitumika itawaumiza wote pamoja na mayahudi.
 
Unafikiri Herzibollah ni sawa na Hamas! Fuatilia kwanza historia yake, halafu utaelewa nilichokisema.
Nimeona hao jamaa wanalipua maporini huko nikajiuliza mbona hawalipui kwenye makazi ya watu, hebu tafuta jibu la hilo swali kwanza ndio utaamini Israel ni habari nyingine kwenye hayo masuala ya kivita, usiwakuze hao vifaranga wameachwa tu wachezee sharubu za baba yao.
 
Hao PIJ watulize mishumaa hiyo wabaki na ya Gaza/Palestina.
Wasijitutumue beyond their ability.
 
Waislamu mnadharau na israel hivi hamjui israel ni taifa la nuklia na Teknoloji unawasifia hao magaidi wanao watumia raia kama ngao mtaiponza lebanon nyie muda sio mrefu mtalia mkiomba ceasefire kama gaza mkiona walebanon wanateketezwa
Bado unashikilia uwimbo wa uongo wa kujificha nyuma ya raia!?
Ila Hizbollah sio Hamas kila siku tunawaambia.
Hizbollah ina silaha sawia na za Israel yani wamekosa fighter jets tu na nuke basi.
Na kamwe hizbollah haijifichi nyuma ya raia,hiyo Israel yenu juzi badala ya kupiga kambi ya Hizbollah ikashambulia makazi ya raia kimakusudi.
Location inakuja kuoneshwa Hizbollah wako 40km away na hayo makazi walipopiga wao na kuua raia wawili.
2006 Israel anajua alichofanywa na Hizbollah.
 
Acha uongo wewe,kambi za Galilee zimelipuliwa na hao Hizbollah wewe unadai wanalipua mapori!?
Kuna makazi ya watu yameharibika kiasi raia wamehamishwa wewe unadai mapori!?
Hivi unajua kambi ya Galilee hai function kwasasa kwasababu ya kulipuliwa mara kwa mara na Hizbollah!?
Tizama habari usituongopee hapa.
 
Israel haogopi Allah wala watumwa wa Allah.

Waende kwanz Gaza kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…