BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
- Thread starter
-
- #41
Mafundisho ya kikristo makanisani kwa asilimia kubwa ndio ambayo yanafundisha chuki dhidi ya waislamu.sawa ila kusema muislamu hamchukii mkrsto au myahudi,,hapana mkuu hata mashekhe wenzako wamevunga tu sbb wanahc unawatafutia msaada hamas
Wapalestina sio waarabu kiasili bali wamekuwa arabized, ni Waisrael wa Zamani ambao wamebadilisha dini kuwa waislam/Wakristo na ipo proved kisayansi sijui kwanini bado hizi propaganda zinaendelea kwamba wametoka Arabuni. Wangekua ni waarabu wangefanana na waarabu wengine kwanini wao wapo tofauti?Eneo la Israel ni la waisrael, hao wanaojiita wapalestina ni waarabu waliovamia eneo Hilo wakati wenye nalo wakiwa uhamishoni,kwasasa ni ima watulie waishi kwa amani(kitu ambacho ni kigumu) au waendelee kuumia kila mara.
Kwanza utambue hakuna Aya katika Biblia inasema Yesu ni Mtoto wa Mungu, Kama Qurani inavyo sema.Mafundisho ya kikristo makanisani kwa asilimia kubwa ndio ambayo yanafundisha chuki dhidi ya waislamu.
Wapalestina Wana Sura Za Kiarabu Tuna Macho Tunaona Sisi Sio VipofuWapalestina sio waarabu kiasili bali wamekuwa arabized, ni Waisrael wa Zamani ambao wamebadilisha dini kuwa waislam/Wakristo na ipo proved kisayansi sijui kwanini bado hizi propaganda zinaendelea kwamba wametoka Arabuni. Wangekua ni waarabu wangefanana na waarabu wengine kwanini wao wapo tofauti?
Ukisema Mungu Hana Dini Elewa Kwanza Neno Dini Ni Nini Dini Ni Njia Ya Kumuendea Mungu Kama Huna Dini Na Hauamin Dini Yyte Ww Ni Mpagani Usilete Maneno ManenoMkuu
Ukiishi ukiwa huru ukaju Mungu Hana Dini yeyote na Dini ni za watu na Mungu yeye Hana Dini Wala upande utaishi kwa uhuru sana!!
Dini ni mbinu ya wenye akili kutawala wenye Bongo finyu!
Leo Kuna wajinga wnasapoti israel na wengine Palestine kwanini. Wasijiulize maswali kwamba Mungu huyo anafuarahia damu kumwagwa!!?yaani damu ya mpalestina au muisrael ikimwagika Mungu anafuarahia yeye kama muirael au mpalestina!!?
Mimi nipo huru kuingia kabisa au msikiti wote na Tena siendi kuabudu Wala naenda kutembea na kujifunza coz naabudu Kila saa ninapojusikia ninapokua popote pale kimya kimya!!!Wala Sina jengo la maana la kuabudia Wala dini ya maana zaidi nasoma maandiko na yanayohisiwa kuwa ya Mungu na kuyaona kama kweli Yana uungu ndani yake!!!
Simple tu!!
They don't, Levant arabs Karibia wote ni Weupe sana, hawavai Kanzu, Wana vyakula tofauti, Mavazi tofauti, culture tofauti na waarabu wa Gulf,Wapalestina Wana Sura Za Kiarabu Tuna Macho Tunaona Sisi Sio Vipofu
Wapi nimetaja black Jews? Hitler aliua hao hao Khazarians yaani So-called Ashkenazi Jews ambao literally ni wazungu sio semitic kama Sephards au Falahasha or whatever diaspora ipo middle east.Kwamba Hitler aliua Black Jews hiki ni kichekesho cha karne.
Mkuu hata Bible inaeleza jinsi makabila 10 ya Israel yalipotea utumwani, hata wayahudi waliopo sasa wanajinasibisha na makabila ya Juda, Benjamin etc but makabila kama Dani sijui Zablon yalishapotea kwenye mataifa. Sasa in that scenario hao wazungu wa Ashkenazi waseme wametokana na kabila gani.Siyo kukaa kila wakati mnapiga kelele 'wale walipo Israel ya leo siyo Wayahudi wale'.
Hizo North African countries zilikua na Black people sema tu mfano Tunisia ilikua assimilated na Carthageans ambao ni Lebanon ya leo. Nchi kama Algeria ilikua na influence ya nchi kama uturuki chini ya Ottoman so influx ya arabs inakua kubwa. But hakuna aliyesema originality ya Morocco ni waarabu hata Tanzania tu hapa makabila mengi yametokea South na West Africa!! Cha ajabu leo wanyamwezi watoke hapa wakadai eti Cameroon ni nchi yao!! That's what Jews are doing in PalestineTukiachana na hilo. Wekeni pia na ukweli wa nani ni Mmisri halisi na historia ya wenyeji halisi wa hizi nchi za Afrika ya Kaskazini;Algeria,Morocco,n.k.
Bila kusahau Ashkenaz wanaclaim ujews wao kwa mama, so bibi wa bibi yake wa bibi yake akiwa ni jew basi na yeye ni jew hata kama kaolewa na. Mzungu wa kawaida na damu ya kiyahudi haipo kabisa.Wapi nimetaja black Jews? Hitler aliua hao hao Khazarians yaani So-called Ashkenazi Jews ambao literally ni wazungu sio semitic kama Sephards au Falahasha or whatever diaspora ipo middle east.
Mkuu hata Bible inaeleza jinsi makabila 10 ya Israel yalipotea utumwani, hata wayahudi waliopo sasa wanajinasibisha na makabila ya Juda, Benjamin etc but makabila kama Dani sijui Zablon yalishapotea kwenye mataifa. Sasa in that scenario hao wazungu wa Ashkenazi waseme wametokana na kabila gani.
Hizo North African countries zilikua na Black people sema tu mfano Tunisia ilikua assimilated na Carthageans ambao ni Lebanon ya leo. Nchi kama Algeria ilikua na influence ya nchi kama uturuki chini ya Ottoman so influx ya arabs inakua kubwa. But hakuna aliyesema originality ya Morocco ni waarabu hata Tanzania tu hapa makabila mengi yametokea South na West Africa!! Cha ajabu leo wanyamwezi watoke hapa wakadai eti Cameroon ni nchi yao!! That's what Jews are doing in Palestine
YESU SIO HUYO ISSAH WA WAARABU NI MUNGU KWA WAKRSTO NA NI MTOTO WA MUNGU MKUU WA KIYAHUDI YEHOVA KIROHO.Katika ukristo kuna kundi la washirikina wanao amini kwamba Issa ni Mtoto wa Mungu na wengine huamini kwamba Issa ndie MUNGU. Hao hatupo nao pamoja katika kuamini.
HAKUNA JAMII YA WAYAHUDI ILIYOPOTEA NA ITAENDELEA KUWEPO MILELE PALE MASHARIKI YA KATI.Wapi nimetaja black Jews? Hitler aliua hao hao Khazarians yaani So-called Ashkenazi Jews ambao literally ni wazungu sio semitic kama Sephards au Falahasha or whatever diaspora ipo middle east.
Mkuu hata Bible inaeleza jinsi makabila 10 ya Israel yalipotea utumwani, hata wayahudi waliopo sasa wanajinasibisha na makabila ya Juda, Benjamin etc but makabila kama Dani sijui Zablon yalishapotea kwenye mataifa. Sasa in that scenario hao wazungu wa Ashkenazi waseme wametokana na kabila gani.
Hizo North African countries zilikua na Black people sema tu mfano Tunisia ilikua assimilated na Carthageans ambao ni Lebanon ya leo. Nchi kama Algeria ilikua na influence ya nchi kama uturuki chini ya Ottoman so influx ya arabs inakua kubwa. But hakuna aliyesema originality ya Morocco ni waarabu hata Tanzania tu hapa makabila mengi yametokea South na West Africa!! Cha ajabu leo wanyamwezi watoke hapa wakadai eti Cameroon ni nchi yao!! That's what Jews are doing in Palestine
Jewish ni race mkuu,,,,kubali au ukatae.Jewish ni culture na dini pia not necessarily "race" fulani. Na Hitler aliua sio Jews tu aliua watu wa Poland na Russia kuliko hata alivyoua wayahudi. So it was not about their "race" bali hyo identification yao kama Jews na kutawala mifumo ya fedha pamoja na kuhujumu nchi kwenye WW1.
So whether wewe ni original or not, it didn't matter.
MKUU KWENYE UKRSTO NA UYAHUDI HAKUNA ISSA MWARABU NA HII HISTORIA YA KIARABU ULIYOKARIRI KAANDIKA MUHAMMAD AMBAE NI WAKALA WA MUNGU WA KIARABU WA WAISLAMU ALLAH.Nabii Issa alipokuja (mazazi yake yalikua ni ya maajabu sana), pia yeye mwenyewe alikua ni mwenye maajabu na miujiza ya hali ya juu. Alipoondoka watu waligawika makundi matano.
1-Kundi la kwanza kabisa walidai kwamba Issa a.s ndiye MUNGU
2-Kundi la pili walidai Issa a.s ni Mtoto wa MUNGU
3-Kundi la tatu walidai kwamba Issa a.s ni Nabii na mtume wa MUNGU (Hili kundi la tatu walikua ni wachache sana) na hawa kwetu sisi ndio tunawaita 'Ahlul-kitaab' kwasababu waliendeleza kuishikilia Injili.
4-Kundi la nne ni mahayudi walioendeleza mila za Nabii Mussa a.s lakini wakamkataa Issa a.s hawa pia tunawaita ni 'Ahlul-kitaab' kwasababu waliendelea kuishikilia Taurati.
5-Kundi la 6 ni Mayahudi yaliyokufuru kabisa ambayo yalipiga vita makundi hayo manne ya juu, walichinja na kuuwa Manabii na kuwakataa hadharani na ndio hawa waliolaaniwa kwa Kauli ya Dawd na Kauli ya Nabii Issa, na hapo ndipo ufalme wa kiungu ukaondolewa kwao na kupelekwa arabuni.
Wewe hizo habari za yakobo na wake wanne umezitoa wapi????We naye zero tu, hivi unajua Yakobo alikua na wake 4? Na wawili walikua ni watumwa kutoka huko Syria yaani waarab hivi..... na hata wake zake walitokea Mesopotamia ambayo ni almost Iraq ya leo!! So hakuna myahudi mwenye mama "pure" myahudi!! In fact hilo kabila la Dani walikua pure black based on the Bible.
Sio kweli kabisa bali ingia kanisani uone kama kuna muda watapondwa waislamu ila hii ni tofauti na ukiingia misikitiniMafundisho ya kikristo makanisani kwa asilimia kubwa ndio ambayo yanafundisha chuki dhidi ya waislamu.