Palestine na mifano ya chuki za kidini


Unaonyesha jinsi gani uislam ni dini dhaifi na iliyo na desperate ya converters,poleni sana historia nayo huweza kugeuzwa kwa mlengo fulani na maslahi fulani kama ulivyoandika katika andiko lako,umechanganya uongo na ukweli ili kupotosha.

Hii vita mpalestina ameshindwa kaeni chini muone njia bora ya hao wapalestina kuishi na waisrael laa waondoke hapo mana kila siku mtabaki kulialia tu na hakuna kitu mtafanya.
 
Katika ukristo kuna kundi la washirikina wanao amini kwamba Issa ni Mtoto wa Mungu na wengine huamini kwamba Issa ndie MUNGU. Hao hatupo nao pamoja katika kuamini.

Shetani mjanja sana anatumia uislamu vilivyo kupinga na kukataa uungu wa kristo,eti aitwe nabii isa,hovyo kabisa halafu ninyi waislam wakeristo wakimuita Yesu ni mwana wa Mungu ninyi kinacho wauma ni nini hasa wakati mnasema wasi ninyi mna mungu wenu.
 

Wawe feki wawe orginar chamsingi wanaangamiza magaidi ya kidini,halafu zile aya zilizokuwa sinasema mayahadi hayana radhi mpaka mfuate tamaduni zao ilikua inazungumzia mayahudi wapi?

Hoja zimekosa sasa mnaanza kutafuta uongo mwingine muueneze,hao wayahudi wa ethiopia mnawapenda?au ndio unafiki,mana hata hao wapo katika mapambano na uislamu kila siku.
 

Yakobo alikua na wake wawili Leah na Rahel,ila alizaa na wajakazi wa hao wake zake yani jumla alizaa na wanawake wa4,acha upotoshaji.
 

Sasa mbona katika hili mnatafuta wayahudi og na feki kama uyahudi ni cultule na dini?acheni unafiki na kutafuta chaka kwa wayahudi wa ethiopia.
 

[emoji28][emoji28][emoji28],huo ufalme uliondolewa lini na kwanamna gani?daah hivi ni vituko asee kumbe ndio mnavyofundishwa huko misikitini no wonder mko hivyo.
 
Punguza jazba mimi ni mkristo pia sijui kwanini unani address kama vile ni Muislam

Sio kila mkristo ni fuata upepo tu, tuna reason kupitia maandiko sio mihemko
 
Sasa mbona katika hili mnatafuta wayahudi og na feki kama uyahudi ni cultule na dini?acheni unafiki na kutafuta chaka kwa wayahudi wa ethiopia.
Tunaweka facts straight kuwa Ashkenazi sio real Jews, kwani umeona wapi nimepinga Sephards?
 

Kazi inayofanywa na akina shehe ponda na mzee saidi wengi hawaelewi lengo lake hao wanakazi maalumu ya kuleta utengano na chuki za kidini na kusimamiaha sheria za kiislam hapa nchini,sio wa kuwachekea watu wa aina hii.
 
Hebu twende taratibu, Hapo Israel/Palestine hakuna mafuta, hakuna dhahabu, hakuna almasi, hakuna natural wildlife, hakuna lolote la maana, ni kitu gani kiwavutie hao Jews hapo wakati huku bara jeusi lililojaa raslimali wana uwezo wa kuuziwa Ardhi kwa bei chee wangefanya kuwa nchi yao kwenye Neema tele?
 
Hao unaowaita wayahudi original "Falasha" walioko Ethiopia walifika Ethiopia mwaka gani na walifikaje??
 
Hao Falasha Jews walifika Ethiopia mwaka gani, walifikaje na kwa nini walienda Ethiopia na sio Ulaya?
 
Israel atapigana mpaka abomoe ule msikiti ambao tunaamini ndipo lilipokuwa hekalu la Suleman, pia tunaamini kuwa lile sanduku la Agano la Mungu limefukiwa mle.
 
Israel atapigana mpaka abomoe ule msikiti ambao tunaamini ndipo lilipokuwa hekalu la Suleman, pia tunaamini kuwa lile sanduku la Agano la Mungu limefukiwa mle.
Kwahiyo Mungu anafurahishwa na kinachoendelea?

Hilo sanduku linamsaidia nini Mungu?

Na kama hilo sanduku ni kitu cha maana sana Mungu hawezi kuwapa sanduku lingine?

Hapa ndio kina Kiranga and co, wanakuwa na nguvu za hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…