Palestine na mifano ya chuki za kidini

ni kitu gani kiwavutie hao Jews hapo wakati huku bara jeusi lililojaa
Yeah ndio proposal ya kwanza ilikuwa waje western Kenya na baadhi ya maeneo ya Eastern Uganda miaka ya 1880s. Ila walihofia ipo siku tu utawala utaamka na kuwaletea figisu kama Hitler. So wakatumia kichaka cha "nchi ya ahadi" ili warudi Palestine.

Walijua watakua na watetezi wengi wakifanya hayo wanayofanya kwa kivuli cha dini ila wangefanya hayo mambo Uganda wangeshachukiwa na mataifa yote.
 
Kwahiyo Mungu anafurahishwa na kinachoendelea?

Hilo sanduku linamsaidia nini Mungu?

Na kama hilo sanduku ni kitu cha maana sana Mungu hawezi kuwapa sanduku lingine?

Hapa ndio kina Kiranga and co, wanakuwa na nguvu za hoja.
Halafu usiniangushe, hivi kweli huo ujasiri wa kuhoji kuhusu Sanduku la Agano la Mungu unao?

Muwe mnapitia na maandiko ya kiroho.
 
Mbona Makaburu wapo South Africa mpaka leo na hakuna mtu wa kuwatowa?

Hii siyo hoja.
 
Halafu usiniangushe, hivi kweli huo ujasiri wa kuhoji kuhusu Sanduku la Agano la Mungu unao?

Muwe mnapitia na maandiko ya kiroho.
Hapa kwenye maandiko ndio ilipo shida kubwa sana.

Anyway nisije nikavuruga imani yako lakini dini zote za Ibrahim tumepigwa na ndio msingi wa matatizo.

Huwezi kuwasikia Buddha au Hindu wakipromote dini zao kuwa ndio za haki na kutafuta wafuasi, hata Jews pia hawana muda huo, shida ipo kwa Uislamu na Ukristo.
 
Hili haliondoi ukweli kuwa Quran imetaja kwa uwazi kuwa yahudi na wakristo ni maadui wa waislamu.
 
Katika ukristo kuna kundi la washirikina wanao amini kwamba Issa ni Mtoto wa Mungu na wengine huamini kwamba Issa ndie MUNGU. Hao hatupo nao pamoja katika kuamini.
Acha kuzunguka sheikh! Umeulizwa kuhusu aya inayowakataza kuwa marafiki na wakristo na mayahudi! Si ni kweli ipo?
Badala ya kujibu unazunguka zunguka tu
 
Katika ukristo kuna kundi la washirikina wanao amini kwamba Issa ni Mtoto wa Mungu na wengine huamini kwamba Issa ndie MUNGU. Hao hatupo nao pamoja katika kuamini.
Katika Biblia hakuna mtu aitwaye Issa.
Iwe Biblia ya Kiarabu, Kiswahili au Kiingereza.

Pia Biblia haija andika popote kuwa Yesu ni Mtoto wa Mungu.

Mwana na Mtoto ni vitu viwili tofauti kabisa.

Qurani ni Kitabu pekee kinachosema Issa ni Mtoto wa Mungu.
Halafu nyie wenyewe mnaipinga Qurani yenu tena kuhusu hiyo Kauli.

Yaani ni full kujichanganya.

Hakuna Mkristo wala Biblia inayosema Yesu ni Mtoto wa Mungu.

Nyie ni watu wa ajabu sijapata kuona popote Dunia hii.
 
Acha kuzunguka sheikh! Umeulizwa kuhusu aya inayowakataza kuwa marafiki na wakristo na mayahudi! Si ni kweli ipo?
Badala ya kujibu unazunguka zunguka tu
۞ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ أَوْلِيَاءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ

[ AL - MAIDA - 51 ]
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.


Mathayo (Mat) 22:39
Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.

{Bila kujali Dini, Kabila, Rangi, Imani, Urefu na Ufupi}
 

Your browser is not able to display this video.

jiwe angavu
 
Umejitahid kuelezea uongo mwingii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…