biabia
Senior Member
- Nov 18, 2023
- 192
- 242
Ninyi kama waislamu mnaamuaje kuishi na hao washirikina?Katika ukristo kuna kundi la washirikina wanao amini kwamba Issa ni Mtoto wa Mungu na wengine huamini kwamba Issa ndie MUNGU. Hao hatupo nao pamoja katika kuamini.