Palestine na mifano ya chuki za kidini

Palestine na mifano ya chuki za kidini

Katika ukristo kuna kundi la washirikina wanao amini kwamba Issa ni Mtoto wa Mungu na wengine huamini kwamba Issa ndie MUNGU. Hao hatupo nao pamoja katika kuamini.
Ninyi kama waislamu mnaamuaje kuishi na hao washirikina?
 
Wapalestina sio waarabu kiasili bali wamekuwa arabized, ni Waisrael wa Zamani ambao wamebadilisha dini kuwa waislam/Wakristo na ipo proved kisayansi sijui kwanini bado hizi propaganda zinaendelea kwamba wametoka Arabuni. Wangekua ni waarabu wangefanana na waarabu wengine kwanini wao wapo tofauti?
Allah anaposema kiama hakitafika hadi pale waislamu watawapiga wayahudi hadi mawe yatawaambia waislamu"huyu hapa myahudi kajificha nyuma yangu,njooni mmue"..
So,kwa dai ili unakusudia ueleweke kuwa wataopigwa na waislamu ni wapelestina hawa hawa akina Abbas maana ndiyo wayahudi orijino kwa mjibu wa dai lako?.


Kitu ambacho muislam hawezi danganya hakijawai kuwepo.
 
Hebu twende taratibu, Hapo Israel/Palestine hakuna mafuta, hakuna dhahabu, hakuna almasi, hakuna natural wildlife, hakuna lolote la maana, ni kitu gani kiwavutie hao Jews hapo wakati huku bara jeusi lililojaa raslimali wana uwezo wa kuuziwa Ardhi kwa bei chee wangefanya kuwa nchi yao kwenye Neema tele?
Kwanini wanunue ardhu africa ikiwa walipewa ardhi bure na JEHOVA..?
 
Back
Top Bottom