Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.

Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa 100million[emoji23]

Makolo mulibhwanji....
1740576490870.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.

Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa 100million[emoji23]

Makolo mulibhwanji....View attachment 3250523

GSM afukuzwe Yanga haraka
 
Du! Unamaanisha kwamba Mungu anaamini hata shetani ataushtukia huo mtego, maana akiwashinda kweli kitakachomkuta ni 👎💯💯 kichapo.
Kichapo kikali, nani aachie mbio za ubingwa kirahisi?
Kwanza nitabeti Yanga ashinde na goli 2 zipatikane.. naweka elfu 10
 
[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.

Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa 100million[emoji23]

Makolo mulibhwanji....View attachment 3250523

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
geresha tu GSM anaharibu ligi yetu hatumtaki
 
😂🤣🤣🤣 Mfanyakazi wa wasafi aseme anamkubali zaidi ali kibakuli na n'jomba nchumali, kuliko nyandomo...
Hathubutu.. 🤣😂
 
[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa.

Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa 100million[emoji23]

Makolo mulibhwanji....View attachment 3250523

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sijui kwanini mwanza siku Izi vipaji HALISI vimepotea.

Enzi za JIMBO CUP ya DIALLO kuna vipaji vilizalishwa balaa Sanaa..

*wapi NATIONAL FC hii timu ilikiwasha Sana kina EMANUEL KINGU, LUBIGISA MADATA, BONIFACE PAWASA n.k wapo wengi Sanaa.

*Wapi IGO BOYS vijana wa igoma Hawa ni noma WALIKIWASHA sawa sawa

*CHENGA MBILI KIATU FC Hawa jamaa walikinukisha hatare Sanaa wametoa wachezaji wakubwa wengi.

*CHANNEL FC walikipiga haswa haswa

*BARCELONA Hawa jamaa maskani yao ni hapo kota za polisi mabatini ilikua ni chama la maana.

*WAJUGUNA FC hili chama uhuni MWINGI wazee wa vurugu fujo na mpira wa kukamiana wababe Sana sijui waliishia wapi.

NB.
Ukifanya scouting nzurii pale mwanza Kuna talent Sana na Haitakua tena sehemu ya yanga na Simba kuchukua point Bure Bure pale CCM KIRUMBA kule kina Aziz k wapo kibao

For years inasemwa pamba ilikua ni tawi la yanga "mdogo ake yanga ni pamba" mdogo ake Simba ni TOTO AFRICANS

All in all, ngoja tuone Kama MENDE ataangusha KABATI.
 
Back
Top Bottom