Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

Ukiona Hivyo Juwa Kwamba Nyuma Ya Pazia Pamba Ameahidiwa M 200 Iwapo watafungwa Na Yanga Na Huyo Huyo GSM.
 
Sio kinyume chake kweli?
 
Halafu Wanafiki na Wapumbavu aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC aliyeondoka hapa karibuni aliposema Ukweli mkamponda sana huku hadi mkitishia na kumtaka aombe Radhi. Sasa kwa huu Upuuzi wa GSM kwa Pamba FC inayodhaminiwa nao hao hao GSM tukisema yule Kocha wa Yanga SC alikuwa sahihi na ikiwezekana hata ajengewe Mnara kwakuwa Mkweli na Muwazi tutakosea?
 
Hiyo ni motisha ya mechi kuwahamasisha pamba, usichoelewa ni kitu gani?
 
Inaitwa THIRD PARTY INFLUENCE kwa kanuni za fifa au Caf,
Timu zinaweza kuweka bonasi au zawadi kwa wachezaji wao kwa kushinda mechi fulani, kama sehemu ya mikataba yao au kama motisha ya kawaida.

Wadhamini wa timu wanaweza pia kutoa zawadi au bonasi kwa wachezaji wa timu wanayodhamini, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kawaida wa motisha.
 
Hiki ni zaidi ya kichekesho
 
Kuna wakati mtu anaweza kukufanyia visaaa then akaanza na kejeli pia. Hapo ndipo GSM alipofikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…