Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Yaani huyu mwamba kapingwa round zote 7.
Sijui hakujiandaa
Hahaha poleniDie hard wilder fans tupo hapa mkuu
Furry new WBA champions, he deserve, leo alikua more energy, very sharp, mood
Nachoweza kusema cha mwisho, mbabe leo kapigwa, fury bondia bora kabisa kwa kizazi cha sasa, nilimchukulia poa huyu mwamba
Ile mikanda kuwa mbali na wilder ni kitu ambacho kitamuuma sana, nature ya wilder ni always winning, natarajia rematch soon ili fury atudhihirishie kweli anastahili kuendelea kukaa na ile mikanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana.
Hahaha wasitupotezee muda haoMsitupotezee muda, yaani mmetoa draw ya kimagumashi, leo mmekula za ukweli.
Game ya tatu hatuna muda, tunatazama kumbonda AJ.
Msitupotezee muda, yaani mmetoa draw ya kimagumashi, leo mmekula za ukweli.
Game ya tatu hatuna muda, tunatazama kumbonda AJ.
Mkuu ungejua hapa kuna Mtu namtafuta....πππππ hata usiwe na shaka.Jumapili moja ya Kibabe sana.Nimerudi home baada ya ibada nimecheka saaaaana.Fury Bwana haoni Jpl kuna jirani zetu wamekosa raha.Msitupotezee muda, yaani mmetoa draw ya kimagumashi, leo mmekula za ukweli.
Game ya tatu hatuna muda, tunatazama kumbonda AJ.
Furry si mtu wa mchezo tangu alipomkanyaga Klitschko Sina hamu naeNilivyoona wataalamu wengi wa boxing wamemtabiria Fury ushindi, nikawa na hisia tu kuwa kuna kitu cha ziada huyu Fury anacho ambacho Wielder anakikosa.
Mkuu ungejua hapa kuna Mtu namtafuta....πππππ hata usiwe na shaka.Jumapili moja ya Kibabe sana.Nimerudi home baada ya ibada nimecheka saaaaana.Fury Bwana haoni Jpl kuna jirani zetu wamekosa raha.
Fury kastahili kushinda ilo halina mjadala ila kusema wilder si bondia mzuri nashindwa kukuelewa, it means wilder mapambano yote aliyoshinda kapendelewa?Kama wakirudiana Wilder atafia Uwanjani.
Wilder sio Bondia mzuri hata kidogo .... Na tumekuwa tukisema humu akikutana na Ring Dancer mzuri lazima akae. Naona Leo umeona kilichomkuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekuwa akipgana na average boxers , Huyo akikutana na Joshua atafia Uwanjani.Fury kastahili kushinda ilo halina mjadala ila kusema wilder si bondia mzuri nashindwa kukuelewa, it means wilder mapambano yote aliyoshinda kapendelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaeee. Nimekesha usiku Kucha kusubiri pambano, Bora ningelala tu.
Mbaya zaidi hata sijui nataka nani ashinde
Sent using Jamii Forums mobile app