Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Wilder pamoja na kupigwa bado kabebwa saaana asingefika round ya saba naona refa mweusi mwenzie kamlindalinda lakini bado kachezea kichapo. Alipambwa sana na mashabiki wa ngumi lakini hamna kitu yaani mbovu kama mwakinyo tuuu. Tyson wamempotezea muda tu kupigana na bondia mbovu hivi.
 
Ndio mwisho wake mikanda hawezi ipata tena.
 
Kumbuka kipindi kile ilikuwa Tyson Fury alikuwa anatoka kwenye uteja madawa ya kulevya na bado alikuwa Teja. Alikuwa na muda mrefu hajafanya mazoezi intensively lakini Wilder hakuweza kutumia advantage ile na kumtandika Fury.

Na Fury alimwambia Wilder Kama hujafanikiwa Leo kushinda but don't expect to win tomorrow coz jamaa alikuwa yuko hoi na uteja wa madawa now Fury ana full recovery Wilder ameona uimara wa Tyson.

Imeisha hiyooo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ile imekaaje mkuu,sio uchawi ule na Fury alitakiwa apigwe TKO yeye kweli??

Haina uchawi, ile ni style ya kumtambia jamaa kwamba damu yake ni tamu. Ni kama trash acts.

Hapo kila Wilder akiongea atakuwa anapigwa hilo dongo, na nina uhakika tutaona memes kwenye mitandao.
 
Mwishoni mwishoni baada ya game kuisha Fury alipokuwa anahojiwa alinifurahisha kwa Tambo yake ya kibabe kwamba 'The new king is on top of the world'
 
Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Furry ni best boxer zaid ya Wilder all the time. Sio leo tuu.
Wilder alidroo na Furry mara ya kwanza coz Furry alikuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miaka miwili.

Boxing sio mchezo wa kuvizia tuu na kurusha ngumi moja tuu nzito. Gipys King got skills and he shown that today
 
Nafikiri atapambana na Whyte.
Next is Furry vs AJ in Wembley
Sidhan kama hawa waingereza wako tayr kuaibishana naweza kuona pambano la Wilder vs AJ kutokea kuliko Tyson vs AJ
 
Wilder kadondoshwa mara 2.
Ana bahati sana team yake imetupa taulo ulingoni.
Ur next AJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…