Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,448
- 1,311
Safari hii atakalishwa jumla....utakumbuka mara ya mwisho walipokutana, alikalishwa ila aliwahi kuamka. DEO..kwa KO...hatari..Tyson fury ni bondia mwenye mbwembwe zaid dunian
Kuna pambano moja kacbeza na huyu huyu black aisee nilicheka sana
Jamaa anavyoonesha mbwembwe
Kwa kifupi jamaa jamaa siyo wa kimchezo mchezo
Ni mwepesi sana wa kwenda chini lakin ukimdondosha usizan kwamba ndo umemaliza pambano lazima akugeuzie kibao mda wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimefatilia pambano za mshikaji zaid ya kumi nilichokiona ni kwamba jamaa ni mwepesi sana wa kupepesukaSafari hii atakalishwa jumla....utakumbuka mara ya mwisho walipokutana, alikalishwa ila aliwahi kuamka. DEO..kwa KO...hatari..
Kwa mbwembwe tu, yupo vizuri sana...lazima ufurahi. Ila litakuwa pambano zuri sanaMkuu nimefatilia pambano za mshikaji zaid ya kumi nilichokiona ni kwamba jamaa ni mwepesi sana wa kupepesuka
Lakin akipepesuka siyo ndo kwamba sasa umemshinda
Kuhusu kupigwa pambano linalokuja mimi na wewe hatujui ndugu yangu
Mimi ninachopenda kwake ni mbwembwe zake
Hahahaaaaaa lijamaaa linambembwe kinoma mara liweke mikono nyuma mara liachame kama simba yaan kucheki mapambano ya hili limjamaa ni raha sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
nasikia floyd ana ka jelous flani kwa wilder, hata mike tyson. wanapenda wao ndo waendelee kua great blackboxersUtabiri wa Mastaa/Wadau mbalimbali wa Combart Sports juu ya hili pambano;
1. Bob Arum (Boxing Promoter)--- Fury
2. Dana White (UFC director)--- Fury
3. Floyd Mayweather (Boxer)---Fury
4. David Haye (Retired Boxer)---Wilder
5. Paul Maligagi (Boxer)---Fury
6. Triple H (Wrestler)---Fury
7. Mike Tyson (Retired Boxer)---Fury
8. Mc Gregor (UFC Fighter)---Fury
9. Anthony Joshua (Boxer)---Fury
10. Ben Davison (Boxing Coach)---Fury
..........list itaendelea
NB: Naona wadau wengi hawaamini kama Wilder anaweza kummaliza Fury kwavile alishindwa kufanya hivyo kwenye pambano la kwanza wakati Fury akiwa kwenye worst shape, hivyo wanaamini kwavile Fury ni better boxer atamshinda kwa kumuoutbox Wilder kama alivyofanya kwenye pambano la kwanza na ukizingatia kwa sasa yupo kwenye his best shape, only way Wilder anaweza kushinda ni endapo atafanikiwa kumpiga KO, kitu ambapo sio kirahisi kwakuwa Wilder hana accuracy nzuri kwenye punch zake na pia Fury is the master of defence.
... Anyway huo ni mtazamo wao, kwangu mimi still naamini Wilder atashinda kwa KO, sio rahisi kutofanya makosa ya defence kwa round zote 12, kosa moja tu dhidi ya Wilder linaweza kufanya upoteze pambano, no matter how u outboxed him
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna heavyweight mwepesi kama huyu kwa hawa wa sasa, yaani anavyodance ulingoni utadhani ni lightweight, na ana skills kama zote, he's a pure boxer that's why wadau wengi wanamkubali na wanampa nafasi ya kushinda. Pia ni the best trash talker, Wilder huwa ni muongeaji lakini kwa Fury hatoboi kwenye battle ya maneno[emoji1][emoji1]. Sema pamoja na sifa zote alizonazo (skills n' technics) ni bahati mbaya anakutaka na mtu ambaye anahitaji only one perfect punch to end the fight, that's why mimi sikuzote huwa nambetia Wilder[emoji378][emoji109][emoji3]Mkuu nimefatilia pambano za mshikaji zaid ya kumi nilichokiona ni kwamba jamaa ni mwepesi sana wa kupepesuka
Lakin akipepesuka siyo ndo kwamba sasa umemshinda
Kuhusu kupigwa pambano linalokuja mimi na wewe hatujui ndugu yangu
Mimi ninachopenda kwake ni mbwembwe zake
Hahahaaaaaa lijamaaa linambembwe kinoma mara liweke mikono nyuma mara liachame kama simba yaan kucheki mapambano ya hili limjamaa ni raha sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
The best KO artist everNtafanya tape review ya wilder naishia kuona ko tuu but the days are numbered tusubiri
Kwa saa za kwetu pambano litakuwa saa ngapi wadau?
Mayweather haivi na Wilder, hii ni baada ya May kutoa negative comment kwenye pambano la kwanza la Wilder dhidi ya Fury akimaanisha Fury kashinda (ni kama ambavyo Mwakinyo alivyochukia kukosolewa na Matumla).nasikia floyd ana ka jelous flani kwa wilder, hata mike tyson. wanapenda wao ndo waendelee kua great blackboxers
Kwa makadilio ni kama saa 1 asubuhi JumapiliKwa saa za kwetu pambano litakuwa saa ngapi wadau?
By 18:45 unatakiwa uwe kwenye screenKwa saa za kwetu pambano litakuwa saa ngapi wadau?
Yap wilder yuko vizur zaid ya jamaaHakuna heavyweight mwepesi kama huyu kwa hawa wa sasa, yaani anavyodance ulingoni utadhani ni lightweight, na ana skills kama zote, he's a pure boxer that's why wadau wengi wanamkubali na wanampa nafasi ya kushinda. Pia ni the best trash talker, Wilder huwa ni muongeaji lakini kwa Fury hatoboi kwenye battle ya maneno[emoji1][emoji1]. Sema pamoja na sifa zote alizonazo (skills n' technics) ni bahati mbaya anakutaka na mtu ambaye anahitaji only one perfect punch to end the fight, that's why mimi sikuzote huwa nambetia Wilder[emoji378][emoji109][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi pewa muda exactly, hayo ni makadilio tu. Maana kuna mapambano ya utangulizi, yanaweza kuchelewa kumalizika ama huwahi inategemea kama yatakuwa na KO za mapema ama wanamaliza round zote
Saa ngapi?Wilder mfalme wa KOs
Aiseee hili pambano sitalikosa kupitia SS1.
Mkataba wa Fury na promoters wake (Top Ranking) ni kucheza mapambano yake USA, hawezi kucheza nje ya hapo hadi utakapokuja mkataba mpya. Ndio maana pambano la AJ na Fury itakuwa ngumu kutokea kwa miaka ya karibuni, maana AJ anachezaga mapambano yake UK, alipojaribu kwa mara ya kwanza kucheza USA ndo yakamkuta ya kupigwa na Chibonge, ni ngumu kumshawishi tena AJ kucheza pambano MarekaniMmarekani wanampendelea mbona re match inafanyika Usa badala ya England?
Mmarekani wanampendelea mbona re match inafanyika Usa badala ya England?
Wilder ana haters wengi sana, Kajoshua kamehojiwa juzi eti anadai Fury atashinda wakat yeye mwenyew anamuogopa king Wilder
BronzerBomber he promise hata Mungu hatoweza muokoa Furry na kichapo this round
Baada ya huyu teja tunaitaji pambano na bishoo Joshua ili tumstahafishe kabsa
Tunaitaji only 1punch quick knockout tu, blah blah za kurusha vingumi vingi sisi hatuna
#Tilthisday #OneChampion
View attachment 1361864View attachment 1361865
Sent using Jamii Forums mobile app