Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Naona pesa za CCM zimekufikia sasa.Mada zako zinaanza kunipa wasiwasi na umeshafatwa .
hapa untaka nani wa kutusemea na ni kawaida yoyote mwenye kusema nchi mema mnatafuta yupo upande gani.
kama lissu angekuwa anatokea mipakani mngezema sio raia.
ila sasa mnaanza kutafuta kila sababu ila tambua wewe heshima yako hapa JF inashuka na nikisema kitu umelambishwa na wajinga wa CCM KUBARI.
Tupo tunatazama!
Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa.
Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama mchezo. Na bahati nzuri anaumudu.
Gwajima ni zile type za kina Trump. Njia pekee ya kuwashinda watu aina ya Gwajima ni Kuwapuuza tuu.
Naona kuna baadhi ya viongozi na watu wenye majina wanaanza kuingiza agenda za udini katika kupambana na Gwajiboy. Jambo ambalo ni kosa kiufundi.
Mbaya zaidi wanaofanya hivyo ni dini tofauti jambo ambalo linaweza kubadili mwelekeo wa mapambano.
Ukweli ni kuwa Likija swala la Dini hatumshinda Gwajima. Na Gwajima anajua fika Kabisa kuhusu hilo.
Gwajima ugomvi ukihamia kwenye Dini ni sawa na Umfuate Mamba kwenye kina kirefu Cha Maji.
Dawa ya Gajima ni kumtoa kwenye mfumo unaompa nguvu ambapo inakuwa rahisi kujipigia utakavyo.
Gwajima nje ya Kanisa hawezi kuongea, utamuonea huruma tuu.
Lakini sio Huku baadhi ya watu wanakotaka kulipeleka hili pambano.
Ieleweke, iwe iweje mkiruhusu iende kidini Basi Gwajima hatakuwa pekeake, ataungwa Mkono na Wakristo Kwa madhehebu Yao yote. Na hilo Lipo wazi. Hautakuwa mwelekeo mzuri.
Serikali ipige marufuku matumizi ya udini katika mapambano au kutokuelewano kokote ndani ya nchi.
Haya
UMEJIBU KUWA TUMESHA KUJUA .KAMA UNAONGEA KWA NINI UNAJIBU HOJA KAMA SAMIAUjumbe haukuhusu Mkuu.

HATA WEWE? HESHIMA YOTE NILIYOKUPA KUMBE NDIO ULIVYO HIVI?Tupo tunatazama!

WASHA MPA PESA ALIJIONA JF SIJUI NI BIG THINK NAONA SASA KAMA LIPUUZI FULANIAlokwambia anawasemea wakristu nani? Gwajima anasimama kwa ajili ya sisi wananchi wa ajabu tusioweza kujipambania.
Hii vita popote anashinda iwe kidini au nje ya dini.
Nawewe unaanza kuwa ffaallla sasa si ndio?
HATA WEWE? HESHIMA YOTE NILIYOKUPA KUMBE NDIO ULIVYO HIVI?
Tupo tunatazama!
Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa.
Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama mchezo. Na bahati nzuri anaumudu.
Gwajima ni zile type za kina Trump. Njia pekee ya kuwashinda watu aina ya Gwajima ni Kuwapuuza tuu.
Naona kuna baadhi ya viongozi na watu wenye majina wanaanza kuingiza agenda za udini katika kupambana na Gwajiboy. Jambo ambalo ni kosa kiufundi.
Mbaya zaidi wanaofanya hivyo ni dini tofauti jambo ambalo linaweza kubadili mwelekeo wa mapambano.
Ukweli ni kuwa Likija swala la Dini hatumshinda Gwajima. Na Gwajima anajua fika Kabisa kuhusu hilo.
Gwajima ugomvi ukihamia kwenye Dini ni sawa na Umfuate Mamba kwenye kina kirefu Cha Maji.
Dawa ya Gajima ni kumtoa kwenye mfumo unaompa nguvu ambapo inakuwa rahisi kujipigia utakavyo.
Gwajima nje ya Kanisa hawezi kuongea, utamuonea huruma tuu.
Lakini sio Huku baadhi ya watu wanakotaka kulipeleka hili pambano.
Ieleweke, iwe iweje mkiruhusu iende kidini Basi Gwajima hatakuwa pekeake, ataungwa Mkono na Wakristo Kwa madhehebu Yao yote. Na hilo Lipo wazi. Hautakuwa mwelekeo mzuri.
Serikali ipige marufuku matumizi ya udini katika mapambano au kutokuelewano kokote ndani ya nchi.
Haya
Gwajima ni mdini kupitiliza si alitaka kugeuza misikiti kuwa makanisa aisee?Tupo tunatazama!

Gwajima ni mdini kupitiliza si alitaka kugeuza misikiti kuwa makanisa aisee?

Alokwambia anawasemea wakristu nani? Gwajima anasimama kwa ajili ya sisi wananchi wa ajabu tusioweza kujipambania.
Hii vita popote anashinda iwe kidini au nje ya dini.
Nawewe unaanza kuwa ffaallla sasa si ndio?
Mzee kibao alikuwa dini gani?
Sheikh ambaye ameuliwa alikuwa dini gani
Padre alikuwa dini gani
Sasa huo udini isije ikawa nyie ndiyo mnauleta! Watekaji hawajali dini