Pambano hili lisichukue mkondo wa udini. Kivyovyote Gwajima atashinda likipelekwa kidinidini

Tupo tunatazama!

Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa.

Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama mchezo. Na bahati nzuri anaumudu.

Gwajima ni zile type za kina Trump. Njia pekee ya kuwashinda watu aina ya Gwajima ni Kuwapuuza tuu.

Naona kuna baadhi ya viongozi na watu wenye majina wanaanza kuingiza agenda za udini katika kupambana na Gwajiboy. Jambo ambalo ni kosa kiufundi.

Mbaya zaidi wanaofanya hivyo ni dini tofauti jambo ambalo linaweza kubadili mwelekeo wa mapambano.

Ukweli ni kuwa Likija swala la Dini hatumshinda Gwajima. Na Gwajima anajua fika Kabisa kuhusu hilo.
Gwajima ugomvi ukihamia kwenye Dini ni sawa na Umfuate Mamba kwenye kina kirefu Cha Maji.

Dawa ya Gajima ni kumtoa kwenye mfumo unaompa nguvu ambapo inakuwa rahisi kujipigia utakavyo.
Gwajima nje ya Kanisa hawezi kuongea, utamuonea huruma tuu.

Lakini sio Huku baadhi ya watu wanakotaka kulipeleka hili pambano.

Ieleweke, iwe iweje mkiruhusu iende kidini Basi Gwajima hatakuwa pekeake, ataungwa Mkono na Wakristo Kwa madhehebu Yao yote. Na hilo Lipo wazi. Hautakuwa mwelekeo mzuri.

Serikali ipige marufuku matumizi ya udini katika mapambano au kutokuelewano kokote ndani ya nchi.

Haya
wajinga ndio wanaingiza dini, ccm wamebaki tu na silaha hiyo katika hili.
 
Siasa za Nchi hii ni za kidini Toka kitambo na Hilo liko wazi isipokuwa punguzeni munyu.

Binafsi Huwa nawashangaa sana nyie wenye dini zenu za Wazungu na Waarabu mnavyoraruana,huwanaonyesha jinsi gani ujinga wa dini umetawala sehemu kubwa.

Mwisho wakati wa JK wazee wa kubasi walitembeza kichapo sana Kwa nyie Wagalatia 😂😂😂😂
 
Huwezi kuufuta Ukweli.

Hoja ya Askofu Gwajima haina uhusiano wowote ule na dini za Watu. Uhalifu mbaya wa kuteka watu, kuua watu, kuwatesa na kuwapoteza hauna uhusiano wowote ule na dini za Watu. Watu wa dini zote kabisa na Watu wengine wasiokuwa na Imani katika dini yoyote ile (Wapagani) nao pia wamekuwa wakilengwa na uhalifu huo mbaya wa Utekaji na Mauaji.
Umewahi msikia Gwajiboy anakemea utekaji awamu ya 5?

Kwa Sasa ameungana na Mpina huko naona hoja ni utekaji na Sasa wameongeza eti ufisadi.
 
Tupo tunatazama!

Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa.

Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama mchezo. Na bahati nzuri anaumudu.

Gwajima ni zile type za kina Trump. Njia pekee ya kuwashinda watu aina ya Gwajima ni Kuwapuuza tuu.

Naona kuna baadhi ya viongozi na watu wenye majina wanaanza kuingiza agenda za udini katika kupambana na Gwajiboy. Jambo ambalo ni kosa kiufundi.

Mbaya zaidi wanaofanya hivyo ni dini tofauti jambo ambalo linaweza kubadili mwelekeo wa mapambano.

Ukweli ni kuwa Likija swala la Dini hatumshinda Gwajima. Na Gwajima anajua fika Kabisa kuhusu hilo.
Gwajima ugomvi ukihamia kwenye Dini ni sawa na Umfuate Mamba kwenye kina kirefu Cha Maji.

Dawa ya Gajima ni kumtoa kwenye mfumo unaompa nguvu ambapo inakuwa rahisi kujipigia utakavyo.
Gwajima nje ya Kanisa hawezi kuongea, utamuonea huruma tuu.

Lakini sio Huku baadhi ya watu wanakotaka kulipeleka hili pambano.

Ieleweke, iwe iweje mkiruhusu iende kidini Basi Gwajima hatakuwa pekeake, ataungwa Mkono na Wakristo Kwa madhehebu Yao yote. Na hilo Lipo wazi. Hautakuwa mwelekeo mzuri.

Serikali ipige marufuku matumizi ya udini katika mapambano au kutokuelewano kokote ndani ya nchi.

Haya
Sasa huoni kwamba kumtoa kwenye hiyo platform yake ya kanisani kama unavyoshauri ndio kuta fuel zaidi huo udini?
 
..wewe mtu wa ajabu sana.

..Gwajima anatetea waliotekwa na kupotezwa.

..wewe unajipa jukumu la kuwa mshauri wa wanaotaka kumpinga Gwajima.
Ingawa anaonekana anawapa ushauri wa kuwasaidia wapinzani wa Gwajima Ila ukweli anawaambia ukweli kuwa maoni au mawazo au malalamiko ya Gwajima kuhusu utekani hayapo kidini.
Yanasimamia haki ya kila mtu bila kujali dini yake.
Huenda Robert Heriel Mtibeli ameshauri kwa ufundi ili kukwepa mkono wa watekaji.
 
Tupo tunatazama!

Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa.

Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama mchezo. Na bahati nzuri anaumudu.

Gwajima ni zile type za kina Trump. Njia pekee ya kuwashinda watu aina ya Gwajima ni Kuwapuuza tuu.

Naona kuna baadhi ya viongozi na watu wenye majina wanaanza kuingiza agenda za udini katika kupambana na Gwajiboy. Jambo ambalo ni kosa kiufundi.

Mbaya zaidi wanaofanya hivyo ni dini tofauti jambo ambalo linaweza kubadili mwelekeo wa mapambano.

Ukweli ni kuwa Likija swala la Dini hatumshinda Gwajima. Na Gwajima anajua fika Kabisa kuhusu hilo.
Gwajima ugomvi ukihamia kwenye Dini ni sawa na Umfuate Mamba kwenye kina kirefu Cha Maji.

Dawa ya Gajima ni kumtoa kwenye mfumo unaompa nguvu ambapo inakuwa rahisi kujipigia utakavyo.
Gwajima nje ya Kanisa hawezi kuongea, utamuonea huruma tuu.

Lakini sio Huku baadhi ya watu wanakotaka kulipeleka hili pambano.

Ieleweke, iwe iweje mkiruhusu iende kidini Basi Gwajima hatakuwa pekeake, ataungwa Mkono na Wakristo Kwa madhehebu Yao yote. Na hilo Lipo wazi. Hautakuwa mwelekeo mzuri.

Serikali ipige marufuku matumizi ya udini katika mapambano au kutokuelewano kokote ndani ya nchi.

Haya
Gwajima ni maarufu kuliko chadwma yooote
 
Ioa kijani😂
 
Gwajima hakupaswa kujibiwa kwa namna ile na mkutano ukashangilia.Gwajima ana Hoja inayohitaji majibu Toka mamlaka bila kukurupuka.Vyama vya siasa vinataka kujaribu kuiingiza hoja ya Gwajima kwenye mtaji wa kisiasa wakati hili ni suala la Uhalifu dhidi ya wananchi wote.Japo ni rahisi sana kwa Wabongo kuegemezwa upande wa Dini,kwa hili la Gwajima linakataa...
 
Naona pesa za CCM zimekufikia sasa.Mada zako zinaanza kunipa wasiwasi na umeshafatwa .
hapa unataka nani wa kutusemea na ni kawaida yoyote mwenye kusema nchi mema mnatafuta yupo upande gani.
kama lissu angekuwa anatokea mipakani mngesema sio raia.
ila sasa mnaanza kutafuta kila sababu ila tambua wewe heshima yako hapa JF inashuka na nikisema kitu umelambishwa na wajinga wa CCM KUBARI.
Umemchana ukweli
 
Gwajima hakupaswa kujibiwa kwa namna ile na mkutano ukashangilia.Gwajima ana Hoja inayohitaji majibu Toka mamlaka bila kukurupuka.Vyama vya siasa vinataka kujaribu kuiingiza hoja ya Gwajima kwenye mtaji wa kisiasa wakati hili ni suala la Uhalifu dhidi ya wananchi wote.Japo ni rahisi sana kwa Wabongo kuegemezwa upande wa Dini,kwa hili la Gwajima linakataa...

Sahihi kabisa
 
sasa mashehe ubwabwa kina sule ndio wanashindana na gwajima watapigwa mchana kweupeee

toka dua ya kishki hijampata afande sele wakae kwa kutulia tu tuwapambanie
 
Gwajima ni mdini kupitiliza si alitaka kugeuza misikiti kuwa makanisa aisee?
Sijui wengine mna akili gani au mna uwezo mdogo wa kufikiri, Gwaji boy yeye amezungumzia issue ya utekaji na kupoteza watu kusikojulikana, wengi mnaojaribu kumshambulia hamjajibu hoja yake ya msingi, na hamna haja ya kutafuta kichaka cha dini cha kujificha badala ya kumjibu, nani mtekaji na serikali imechukua hatua gani, angekuwa mwanao ametekwa na kung'olewa jicho, au hajapatikana mpaka ungeyasema hayo?
 
Back
Top Bottom