SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Dini zote ni matapeli tofauti ni nini wanachotapeli....Dini kwani yeye ndiye mmiliki wa dini.tapeli tu
Kwani dini.ni.amli yake. Tapeli tu huyo.
Dini zote ni matapeli tofauti ni nini wanachotapeli....Dini kwani yeye ndiye mmiliki wa dini.tapeli tu
Kwani dini.ni.amli yake. Tapeli tu huyo.
ThibitishaDini zote ni matapeli tofauti ni nini wanachotapeli....
Twende nao pale Ocean Road tuwape muda wale wa DUA na MAOMBI & MAOMBEZI kwa muda tofauti watu wapone...Thibitisha
Nyie chawa ndiyo mmeuingiza huu mpambano kwenye mrengo wa kidini, hata hii post yako ni moja ya stimulus kutupeleka kwenye huo mtafaruku kuwa wa kidini.Tupo tunatazama!
Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa.
Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama mchezo. Na bahati nzuri anaumudu.
Gwajima ni zile type za kina Trump. Njia pekee ya kuwashinda watu aina ya Gwajima ni Kuwapuuza tuu.
Naona kuna baadhi ya viongozi na watu wenye majina wanaanza kuingiza agenda za udini katika kupambana na Gwajiboy. Jambo ambalo ni kosa kiufundi.
Mbaya zaidi wanaofanya hivyo ni dini tofauti jambo ambalo linaweza kubadili mwelekeo wa mapambano.
Ukweli ni kuwa Likija swala la Dini hatumshinda Gwajima. Na Gwajima anajua fika Kabisa kuhusu hilo.
Gwajima ugomvi ukihamia kwenye Dini ni sawa na Umfuate Mamba kwenye kina kirefu Cha Maji.
Dawa ya Gajima ni kumtoa kwenye mfumo unaompa nguvu ambapo inakuwa rahisi kujipigia utakavyo.
Gwajima nje ya Kanisa hawezi kuongea, utamuonea huruma tuu.
Lakini sio Huku baadhi ya watu wanakotaka kulipeleka hili pambano.
Ieleweke, iwe iweje mkiruhusu iende kidini Basi Gwajima hatakuwa pekeake, ataungwa Mkono na Wakristo Kwa madhehebu Yao yote. Na hilo Lipo wazi. Hautakuwa mwelekeo mzuri.
Serikali ipige marufuku matumizi ya udini katika mapambano au kutokuelewano kokote ndani ya nchi.
Haya
Nyie chawa ndiyo mmeuingiza huu mpambano kwenye mrengo wa kidini, hata hii post yako ni moja ya stimulus kutupeleka kwenye huo mtafaruku kuwa wa kidini.
Either way, mpambano uendelee kwani ndiyo demokrasi.
Sijakuelewaa!!Twende nao pale Ocean Road tuwape muda wale wa DUA na MAOMBI & MAOMBEZI kwa muda tofauti watu wapone...
Au ndo utaanza na mambo ya Roho blah blah blah....
Mimi/Sisi tunaompinga huyo kijakazi wenu na sera zake za ubakaji, ulawiti, unyonyaji, uuaji, utekaji na dhulma zote zilizo kinyume na haki za binadamu.Uendelee wewe Refa?
Wewe mtekaji?
Wewe ni Ponjoro?
Wewe ni chawa?
Uendelee wewe nafasi yako ikiwa ni ipi?
Mimi/Sisi tunaompinga huyo kijakazi wenu na sera zake za honey, unyanyaji, uuaji, utekaji na dhulma zote zilizo kinyume na haki za binadamu.
Whether you like or not hili litafika kuwa battle la kidini.
Ukiikosoa serikali ya samia ilihali wewe ni mkristo unatazamwa kwamba una agenda ya udini....
Shangaa sasa, Wale wakosoaji wa Kenya ambao hawakuishia tu kwny kumkosoa, wanatukana, wanamdharirisha Rais Samia hadi leo LAKINI hawaitwi wadini.
Zitto na Fatuma Karume hawajaibuka kumtetea Samia alivyodharirishwa kwa kuporomoshewa matusi na wakenya...
Ila eti lugha za Gwajima kwao ndio zimewaibua.
Very stupid commentUkiikosoa serikali ya samia ilihali wewe ni mkristo unatazamwa kwamba una agenda ya udini....
Shangaa sasa, Wale wakosoaji wa Kenya ambao hawakuishia tu kwny kumkosoa, wanatukana, wanamdharirisha Rais Samia hadi leo LAKINI hawaitwi wadini.
Zitto na Fatuma Karume hawajaibuka kumtetea Samia alivyodharirishwa kwa kuporomoshewa matusi na wakenya...
Ila eti lugha za Gwajima kwao ndio zimewaibua.
Very stupid comment
Kila serikali ya ccm wakati wa uchaguzi ilikua na watu wanajitoa na waliachwa
Lowassa, Sumatra, nchimbi, mama simba, and many more
Sijawahi kusikia dini
Kuna ungese wa udini unapikwa aana na wakatoliki wenzangu
Hivi mnajua madhara yake?