Pambano hili lisichukue mkondo wa udini. Kivyovyote Gwajima atashinda likipelekwa kidinidini

Haujaelewa! Mantiki yake ni kubwa kuliko uwezo uliotoa jibu hili. Hata ukisoma mara mia, uwezo wa kuelewa ujumbe huu haujengwi siku moja
 
Naona zito keshaanza
 
sizani kama umemuelewa…kwa kukusaidia tu..hebu mfatilie fatma karume aka shangazi..alichopost then utamuelewa mwamba alichokiandika..
 
Kwa kuwa umesema ni mashindano ya wawili,je unaweza kubalance mzani?

Yaani kwa kuwa umetoa ushauri/mbinu za upande mmoja kum-win Gwajiboy,sasa basi Gwajiboy kama binadamu mwenzako ili asijepoteza eitha vitu au uhai,je unaweza kubalance equation kwa kumpa ushauri/mbinu za yeye kushinda hii vita?
 

Gwajima hayupo kwenye upande wa kushindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…