Pambano hili lisichukue mkondo wa udini. Kivyovyote Gwajima atashinda likipelekwa kidinidini

Kumbe wewe jamaa ni kilaza ni kilaza kiasi hiki au ndo kuna siku unaamka akili zimeruka..
 
Yaan unashaurib,
Gwajima wamfungie Kanisa ? Yaani zaidi ya Waumini Mamilioni Kwa Mamilioni, makanisa zaidi ya 2000 yafungiwe???.
 
Solution waache kuteka wanachi eti kisa wabakosoa ccm na mwenyekiti wake.

Utekaji na uuaji bi upuuzi na kuishiwa mipango.
 
Mzee siku za hivi karibuni una nyuzi za ajabu.

Sasa Gwajima ana tofauti gani na wale TEC, wao wanatoa waraka, yeye anaitisha press.

Na hajavunja sheria, hajaorganize watu kufanya fujo, hajakashfu watu.
Kosa lake nini hadi uiase serikali kumpiga ban??
 
Katika posts zako zote ninazosamaga, nadhani hii umeindaa ukiwa mtu mwingine kabisa...

Na hoja yako iliyotia fora ni hii👇

"....Dawa ya Gajima ni kumtoa kwenye mfumo unaompa nguvu ambapo inakuwa rahisi kujipigia utakavyo.Gwajima nje ya Kanisa hawezi kuongea, utamuonea huruma tuu..."

Hapa hujaeleweka unaongelea mfumo upi hasa.

Je una maana asiwe sehemu ya mfumo kiserikali kupitia Bunge na ubunge wake..? Au

Je, una maana atolewe kwenye mfumo kuwa kiongozi mkuu wa huduma ya kikanisa ya uaskofu na uchungaji? How exactly? Kufutia usajili kanisa lake? Kumnyang'anya huduma ya uchungaji? Kumnyang'anya title yake ya uaskofu..?

If this is what you're thinking, then it's too low of you..!

Umeshindwa kutumia umahiri wako wa u - taikoni wa Fasihi Andishi kujenga hoja yako vizuri...

Na jibu la hoja yako hii ni kuwa;

There's no way unaweza kumnyang'anya Askofu Josephat Gwajima jukwaa la kusemea mambo ya nchi hii so long as ni raia halali wa taifa hili...

Tunachopaswa kufanya ni kuwaonya watawala kuzingatia ushauri wa watu muhimu kama Askofu Gwajima Kwa mustakabali mwema wa taifa hili. Kupuuza hoja zake na kuanza kutafuta njia au mbinu za kuziba mdomo wa mtoa hoja haitatua tatizo...!

By the way, hoja za Askofu Gwajima ziko very straight, very genuine na ni hoja za karibu Watanzania wote. Shida iko kwa kundi dogo tu la watawala, watu wasiozidi 20 wanaodhani wana maamuzi ya kila kitu ktk nchi hii...

Hawawezi, na mwisho wao umeshafika...
 
Hiyo sio leo tu, mada zake nyingi ni kama anawashauri hawa wanyang'anyi namna ya kufanya kazi yao iwe rahisi.
 

Tukataka tujue Nguvu zipo wapi?
 
Dini kwani yeye ndiye mmiliki wa dini.tapeli tu
Ndo linapoelekea... Kuna kenge wenzetu wadanganyika wanasemaga wao ni wengi tunataka tuone safari hii....
Kwani dini.ni.amli yake. Tapeli tu huyo.
 
Heshima Gani Mkuu.
Watibeli jitahidi kulegeza fuvu
Binafsi sijaona kosa lako ambalo linasababisha ushambuliwe hivi.

Umesema kweli na hao wanaokushanbulia ni hao uluowaambia watashindwa wakishindana na Gwajima

Ni kweli upepo umehama sasa. Wanajibu wana dini wakati wanaotekwa ni dini zote. Juzi shehe katekwa huko Zanzibar na kakutwa ameuawa. Sasa wao hilo hawalioni.

Inasikitisha sana.
 
Acha kujiliza we maamuma. Kosa la Mtibeli ni lipi hapa?
 
Mteteeni Yesu vita ni vikali.
 
Teyari Zitto Kabwe +Fatma Karume wameingiza udini.
Sikuwahi kujua kuwa Zitto ni Mpumbavu wa kiwango hiki
 
Likienda kidini wakristo hamuwezi kushinda na umkitaka udini mjiandae kurudi mashambani kwenu ,kama vita itakuwa ya kweli ...Wazee wa theolojia ni waoga sana ,wanachojua ni unafiki tu.
 
Uzi umejaa mapovu..ndo tabia ya members wengi wa JF wanapenda kuandikiwa kile wanachokitaka tu tena kwa kusifiwa ukiandika kingine chenye ukweli ndani yake wanakasirika na kukuondolea visifa uchwara wanavyohisi ni silaha zao za kukuheshimu na kukupangia cha kupost. Hawajiongezi na mambo yanayoendelea katika nyuzi zingine wakaja kuunganisha doti humu
 
Tukataka tujue Nguvu zipo wapi?
Iko wazi support kubwa anapewa na waumini wake, labda atiwe korokoroni la sivyo platform za kusemea zipo nyingi sio kanisani pekee.

Kwani kina Mdude walikua na makanisa? Mbona walichachafya mpaka wanatekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…