Pambano hili lisichukue mkondo wa udini. Kivyovyote Gwajima atashinda likipelekwa kidinidini

Nyie chawa ndiyo mmeuingiza huu mpambano kwenye mrengo wa kidini, hata hii post yako ni moja ya stimulus kutupeleka kwenye huo mtafaruku kuwa wa kidini.
Either way, mpambano uendelee kwani ndiyo demokrasi.
 
Nyie chawa ndiyo mmeuingiza huu mpambano kwenye mrengo wa kidini, hata hii post yako ni moja ya stimulus kutupeleka kwenye huo mtafaruku kuwa wa kidini.
Either way, mpambano uendelee kwani ndiyo demokrasi.

Uendelee wewe Refa?
Wewe mtekaji?
Wewe ni Ponjoro?
Wewe ni chawa?

Uendelee wewe nafasi yako ikiwa ni ipi?
 
Uendelee wewe Refa?
Wewe mtekaji?
Wewe ni Ponjoro?
Wewe ni chawa?

Uendelee wewe nafasi yako ikiwa ni ipi?
Mimi/Sisi tunaompinga huyo kijakazi wenu na sera zake za ubakaji, ulawiti, unyonyaji, uuaji, utekaji na dhulma zote zilizo kinyume na haki za binadamu.
Whether you like it or not hili litafika kuwa battle la kidini.
 
Ukiikosoa serikali ya samia ilihali wewe ni mkristo unatazamwa kwamba una agenda ya udini....

Shangaa sasa, Wale wakosoaji wa Kenya ambao hawakuishia tu kwny kumkosoa, wanatukana, wanamdharirisha Rais Samia hadi leo LAKINI hawaitwi wadini.

Zitto na Fatuma Karume hawajaibuka kumtetea Samia alivyodharirishwa kwa kuporomoshewa matusi na wakenya...

Ila eti lugha za Gwajima kwao ndio zimewaibua.
 

Hatari Sana.
 
Very stupid comment

Kila serikali ya ccm wakati wa uchaguzi ilikua na watu wanajitoa na waliachwa

Lowassa, Sumatra, nchimbi, mama simba, and many more

Sijawahi kusikia dini

Kuna ungese wa udini unapikwa aana na wakatoliki wenzangu

Hivi mnajua madhara yake?
 

Mmmh!
 

Haya mambo kuna namna ukiyatazama huwezi kuyaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…