Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe

Kawaida mbona, kesho kutwa Netanyau anaenda US na unaambiwa anaweza kuhutubia umoja wa mataifa.
 
Naomba niwaambie kitu kimoja labda wengi hawajui.
Marekani na Urusi ni mataifa makubwa yenye nguvu kijeshi na yanayoogopana na huwa yanaelewana kimya kimya bila kujua nyie.

Nchi ya Urusi ndio nchi inayoongoza dunia kwa kuwa na vichwa maelfu vya mabomu ya nyuklia.Urusi bado ina mrengo wa kikomunist kwa maana kwamba mambo yao huwa hawaropoki hovyo kwa nguvu walizo nazo tofauti na Marekani.

Hizi nchi mbili peke yake zina uwezo wa kuamua hatima ya hii sayari ya dunia kwa kuiangamiza
Msichukulie Urusi poa sana kwamba inakuwaje taifa kubwa lenye nguvu apigane na kanchi kadogo size sawa na jimbo la TEXAS marekani ongeza kidogo kwa muda mrefu.
Ni sawa na wewe kuna katoto kadogo ka miaka miwili kanakushika ndevu na wewe ni bouncer kiukweli hutakapiga ngumi ya nguvu utakuwa unakafinya finya kidogo kaache Makeke

Urusi akiamua kufanya Marekani alichokifanya Nagasaki na Hiroshima kwa nchi ya Ukraine ni swala la masaa tu ila hawezi fanya hivyo sababu anajua madhara yake yanaweza leta vita vya tatu vya dunia na ndio mwisho wa nchi hiyo na hata Urusi yenyewe itadhurika.Ukitumia ubabe kuchoma nyumba sababu kuna panya kaingia ni kwamba na wewe utaangamia hapo ndio Urusi na Marekani wanapoogopana na wako waangalifu sana kwa hilo.

Nilikuwa naongea na rafiki yangu mangi sasa hivyi akaniambia usitegemee nchi zenye nyuklia watakaa wazitumie wanaamua kuzitengeneza ili kuonyesha nao ni wababe wasije onewa.
Ukiamua kupigana na mtu ukijua ana panga na wewe lazima utatafuta panga ila mkishagundua wote mna mapanga adabu inakuwepo mnaheshimiana.

Urusi anajua fika Ukraine ni ndugu zake hawezi piga nyuklia.
Angalieni picha hapa silaha ya Urusi inaitwa Topol-M Intercontinental ballisstic missile Urusi ilikuwa inaionyesha kwenye maonyesho ya kumbukumbu ya ushindi wa vita vya pili vya dunia ilitumia muda huo kuwaonya maadui zake kamwe wasiichokoze Urusi.Hii Silaha ya Nuclear ina uwezo wa kukatiza kutoka bara moja hadi bara lingine.
Picha ingine angalieni Biden na Putin kuna wakati wanakutana miamba hawa wanaongea
 
Attachments

  • Screenshot 2024-09-04 145951.png
    Screenshot 2024-09-04 145951.png
    675.6 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-09-04 151544.png
    Screenshot 2024-09-04 151544.png
    962.3 KB · Views: 2
Naomba niwaambie kitu kimoja labda wengi hawajui.
Marekani na Urusi ni mataifa makubwa yenye nguvu kijeshi na yanayoogopana na huwa yanaelewana kimya kimya bila kujua nyie.

Nchi ya Urusi ndio nchi inayoongoza dunia kwa kuwa na vichwa maelfu vya mabomu ya nyuklia.Urusi bado ina mrengo wa kikomunist kwa maana kwamba mambo yao huwa hawaropoki hovyo kwa nguvu walizo nazo tofauti na Marekani.

Hizi nchi mbili peke yake zina uwezo wa kuamua hatima ya hii sayari ya dunia kwa kuiangamiza
Msichukulie Urusi poa sana kwamba inakuwaje taifa kubwa lenye nguvu apigane na kanchi kadogo size sawa na jimbo la TEXAS marekani ongeza kidogo kwa muda mrefu.
Ni sawa na wewe kuna katoto kadogo ka miaka miwili kanakushika ndevu na wewe ni bouncer kiukweli hutakapiga ngumi ya nguvu utakuwa unakaficha finya kidogo kaache Makeke

Urusi akiamua kufanya Marekani alichokifanya Nagasaki na Hiroshima kwa nchi ya Ukraine ni swala la masaa tu ila hawezi fanya hivyo sababu anajua madhara yake yanaweza leta vita vya tatu vya dunia na ndio mwisho wa nchi hiyo na hata Urusi yenyewe itadhurika.Ukitumia ubabe kuchoma nyumba sababu kuna panya kaingia ni kwamba na wewe utaangamia hapo ndio Urusi na Marekani wanapoogopana na wako waangalifu sana kwa hilo.

Nilikuwa naongea na rafiki yangu mangi sasa hivyi akaniambia usitegemee nchi zenye nyuklia watakaa wazitumie wanaamua kuzitengeneza ili kuonyesha nao ni wababe wasije onewa.
Ukiamua kupigana na mtu ukijua ana panga na wewe lazima utatafuta panga ila mkishagundua wote mna mapanga adabu inakuwepo mnaheshimiana.

Urusi anajua fika Ukraine ni ndugu zake hawezi piga nyuklia.
Angalieni picha hapa silaha ya Urusi inaitwa Topol-M Intercontinental ballisstic missile Urusi ilikuwa inaionyesha kwenye maonyesho ya kumbukumbu ya ushindi wa vita vya pili vya dunia ilitumia muda huo kuwaonya maadui zake kamwe wasiichokoze Urusi.Hii Silaha ya Nuclear ina uwezo wa kukatiza kutoka bara moja hadi bara lingine.
Picha ingine angalieni Biden na Putin kuna wakati wanakutana miamba hawa wanaongea
Umeongea sahihi mkuu.
 
Aisee sikulijua hili
Elimu haina mwisho
ndio hivyo mkuu,
kama unakumbuka, raisi wa sudan alikua na arrest warrant ya ICC kwa zaidi ya miaka 10, na ameenda nchi nyingi sana na hazikumkamata, na miongoni ni nchi za ulaya!

sikumbuki vizuri, ila nafikiri alishawahi kwenda UN Newyork na hakukamatwa!

humu kuna watu wanadhani kumkamata Raisi wa nchi ni kitu rahisi sana, hawaelewi hata madhara yake.........
 
Akina nani hao waliomwambia asiende South Africa? Ni kwa nini walimwambia asiende huko South Africa?
kumbe kule juu uliandika ukiwa huna taarifa!
watawala(serikali) wa Sauzi ndio walimwomna asiende (na walifanya lobbying kupitia China ili imshawishi asiende mana alikua anaenda),

angeenda bila shaka asingekamatwa, na Sauzi bado ni nchi iliyo mfukoni mwa mabeberu kwa kiwango kikubwa sana, hivyo kutomkamata Putin ingewaletea shida kidiplomasia na kibiashara!

kiufupi kungekua na mgogoro mkubwa sana nchini mwao, hasa kati ya mahakama na serikali, maana mahakama yao ilisha-ratify warrant ya ICC na serikali ingekua kwenye pressure kubwa!

btw, mbona hii ilitangazwa sana? hukusikia au hukufuatilia?
 
Putin angekanyaga South Africa kwenye huo Mkutano wa BRICS lazima angekamatwa na Kisha kuwasilishwa kwa Mahakama ya ICC, asingekwepa kukamatwa. South Africa Kuna Mihimili ya Dola yenye Mamlaka kamili, huwezi kuifananisha na hizo nchi zingine ambazo ni 'lawlessness countries'.
FYI: Aliyekuwa Rais wa Sudan Omar Helbashir aliponea chupuchupu kukamatwa nchini Afrika ya Kusini kutokana na kuwepo kwa 'Arrest Warranty' ya ICC dhidi yake, alilazimika kutoroka usiku wa manane na kurudi nchini kwake ili kuepuka kukamatwa muda wa asubuhi siku iliyofuatia baada ya kutolewa kwa Judgement ya Mahakama.
 
Back
Top Bottom