Pamoja na huo utu uzima wako, ni kitu gani bado unakiogopa

Ni kitu gani unakiogopa tangu utotoni umeshindwa kuacha kukiogopa

Najua kuna wengine mpaka wanafaika 30 bado wanaogopa sindano (manesi wana siri nyingi), siwezi kuwacheka maana tunatofautiana tu vitu vya kuogopa.

Binafsi huyu mdudu wa kuitwa nyigu akiingia chumba nilichomo huwa nakosa amani kabisa kila muda naweweseka siwezi kutulia hata kidogo, ni miaka mingi sana imepita tangu nikiwa huyu mdudu anipe somo na nikiri nilimchoza lakini hii kumbukumbu nimeshindwa kuifuta kabisa

View attachment 2785779
Threesome
 
Kale kapini ka sample ya malaria,sindano wala hainisumbui ila kale.

Yaani kila nikipatwa dalili nawaza,mpaka naamua kwenda kununua dawa tu kuendelea na dose.
 
Ni kitu gani unakiogopa tangu utotoni umeshindwa kuacha kukiogopa

Najua kuna wengine mpaka wanafaika 30 bado wanaogopa sindano (manesi wana siri nyingi), siwezi kuwacheka maana tunatofautiana tu vitu vya kuogopa.

Binafsi huyu mdudu wa kuitwa nyigu akiingia chumba nilichomo huwa nakosa amani kabisa kila muda naweweseka siwezi kutulia hata kidogo, ni miaka mingi sana imepita tangu nikiwa huyu mdudu anipe somo na nikiri nilimchoza lakini hii kumbukumbu nimeshindwa kuifuta kabisa

View attachment 2785779
Asee naogopa sana kupata ajali pili naogopa kukosa pesa mfukoni tatu naogopa magonjwa (ikiwemo ya ngono). Naogopa kupoteza nguvu ya familia.
 
Back
Top Bottom