Pamoja na huo utu uzima wako, ni kitu gani bado unakiogopa

Nyoka anaitwa koboko.
Nilitaka kununua shamba nikakuta nyoka amekufa, kuuliza wakaniambia ni koboko aka black mamba.
Nikapakimbia maana nilijua Mrs Koboko atakiwa around anatafuta revenge.
 
Naogopa polisi wa Tz!
Ukiingia 18 zao lazima utajua ule msemo wa 'UKITAKA KUJUA MKU. NDU WA KUKU SUBIRI UPEPO UPULIZE'
Jamaa wana visirani kama Hamas vile!.
 
Mi naogopa kuogopa!
Nikihisi kuogopa kitu (kuwa na hofu) ndio naogopa zaidi!
 
Me naogopa kupanda ndege aisee nikapataga dharura ya kusafir gafla nitafanya vyovyote niwakilishwe na mtu ils sio me kusafir kwa kupanda ndege
 
Mimi naogopa kutoa uhai wa kiumbe chochote chenye damu japokuwa zamani nilikua naweza kuchinja kuku na njiwa ila saiv hata mjusi sipend apate maumivu kisa mimi
 
Mungu asiyeonekana namuheshimu sana.
 
Naogopa sana mwanamke mtoa tigo na mwenye tattoos, pia nyuki na nyoka
 
Kwa kweli huwa siogopi uchawi wala vibaka ila mtu akiniambia amemuona anko snake mahali fulani huwa nakosa amani na njia nabadilisha kabisa
Sasa akiingia ndani ndio balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…