Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

Kwani ulihusika na kufa kwake hadi usijutie? Unaweza tu kujutia kitu ambacho umekifanya, kama ulimuua au ulihusika na kifo chase ndiyo unaweza kusema kwamba unajutia/haujutii!
 
Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
Wewe jamaa kwani Mkolombia au Taleban?
 
Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
Mbona tulimchagua kwa kura nyingi ile awamu ya pili? Au hizo haki za binadamu zilikiukwa awamu ya pili?. Halafu kumbuka MAREHEMU HASEMWI
 
Mbona tulimchagua kwa kura nyingi ile awamu ya pili? Au hizo haki za binadamu zilikiukwa awamu ya pili?. Halafu kumbuka MAREHEMU HASEMWI
Kwani ulihusika na kufa kwake hadi usijutie? Unaweza tu kujutia kitu ambacho umekifanya, kama ulimuua au ulihusika na kifo chase ndiyo unaweza kusema kwamba unajutia/haujutii!
ameshabadili uelekeo!
 
Ishatosha jamani. Mwaka mzima bado unasherehekea kifo.
Zote hizi ni jitihada kuwapumbaza watu wasione mambo makubwa aliyofanya Magufulu. Jitihada za kufuta legacy. Je itafutika? Rais mstaafu Mzee Mwinyi alitamka mbele ya Mkapa na Kikwete kuwa aliyofanya Magufuli kwa miaka 3 yalizidi aliyofanya yeye na Mkapa na Kikwete kwa miaka 30. Nchimbi akitoka Brazili alikokuwa balozi alidai kuwa kama wao kina Lowasa hata wangetawala miaka 40 wasingefikia aliyofanya Magufuli kwa muda ule. Au hawakusema? Legacy haifutiki hata mkimsingizia marehemu eti aliua watu ambao hakuna ndugu aliyefiwa. Yaani watu wa mtandaoni.
 
Back
Top Bottom