Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

WHERE IS AZORY GWANDA, BEN SAANANE, COCO BECH SANDARUSI MAITI, and many many other incidents OF PEOPLE VANISHING IN THIN AIR
Ben Saanane Mbowe anafahamu aliko. Hata baba yake aliposikia mwanaye hayupo alimuuliza Mbowe mwanangu yulo wapi? Azory simkumbuki sawasawa ila kama ni yule mwandishi wa habari any thing could be a possibility. Wale magaidi usidhani kama walifurahia alivyokuwa akiwaripoti. Na kama alikuwa reporter, was he a political threat?. hao people vanishing in thin air ni wa kusadikika. Family members wao wasilalamike ila mitandao ndio iseme?
 
SHALLOW ARGUMENT!
 
Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!

wewe ni mpumbavu brother nakwambia kila siku.

aina yako ya uanzishaji mada inaonekana kabisa unaona aibu kusema jambo fulanj maana upumbavu imekuwa SI unit yako toka umebalehe sasa utabadirikaje!!!!
siku yaja utatumia simu yako kwa haki kumsafisha jpm.
hujuti sasa unamwambia nani[emoji23][emoji23][emoji23]

yaani ni sawa na umekurupuka ndani kwao unakuja kutangazia uma"jamani mimi sijapigwa na mke wangu"
 
Ben Saanane Mbowe anafahamu aliko. Hata baba yake aliposikia mwanaye hayupo alimuuliza Mbowe mwanangu yulo wapi? Azory simkumbuki sawasawa ila kama ni yule mwandishi wa habari any thing could be a possibility. Wale magaidi usidhani kama walifurahia alivyokuwa akiwaripoti. Na kama alikuwa reporter, was he a political threat?. hao people vanishing in thin air ni wa kusadikika. Family members wao wasilalamike ila mitandao ndio iseme?
Kama serikali ipo na mbowe anafanya hayo makosa unayosema basi tulikuwa hatuna rais hapo ilibidi achukuluwe hatua no excuse.
 
Jana nikuwa airport Jk nikaziangalia zile ndege, juzi nikuwa mbezi nikaiyangalia ile stend leo nilikuwa musoma nikaiyangalia ile hospital
Aiseee magufuri alikuwa raisi sizani kama tutakuja kumpata raisi Kama yeye.
 
Back
Top Bottom