mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
alikua mtu makini sana. Kipengele cha ajira pekee ndio vijana wengi aliwaumiza
Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!