SEMA BOLIVIA, UNAOGOPA?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
hakuna anayesherehekea, bali tunaweka historia vema kama tunavyoweka historia ya majaliwa kuwa eti ni "shujaa"!Ishatosha jamani. Mwaka mzima bado unasherehekea kifo.
Yamekuwa hayo tenaSamia na magufuli wote ni hopeless kiuongozi
[emoji3][emoji3][emoji3]hata wewe ukifa watajuta familia yako tu!
wengini ni kuruka majoka
umemaliza kazi, asantekipindi cha
JK- kila mtu maisha yalikuwa mazuri.
JPM-matajiri wata fanana na maskini.
Mama- kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake.
🏃🏃🥱[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wewe jamaa kwani Mkolombia au Taleban?Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
Mbona tulimchagua kwa kura nyingi ile awamu ya pili? Au hizo haki za binadamu zilikiukwa awamu ya pili?. Halafu kumbuka MAREHEMU HASEMWIKuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
kwa vile hajaua anayekuhusuMAREHEMU HASEMWI
sijaua mtu mimi!hata wewe ukifa watajuta familia yako tu!
wengini ni kuruka majoka
Mbona tulimchagua kwa kura nyingi ile awamu ya pili? Au hizo haki za binadamu zilikiukwa awamu ya pili?. Halafu kumbuka MAREHEMU HASEMWI
ameshabadili uelekeo!Kwani ulihusika na kufa kwake hadi usijutie? Unaweza tu kujutia kitu ambacho umekifanya, kama ulimuua au ulihusika na kifo chase ndiyo unaweza kusema kwamba unajutia/haujutii!
Zote hizi ni jitihada kuwapumbaza watu wasione mambo makubwa aliyofanya Magufulu. Jitihada za kufuta legacy. Je itafutika? Rais mstaafu Mzee Mwinyi alitamka mbele ya Mkapa na Kikwete kuwa aliyofanya Magufuli kwa miaka 3 yalizidi aliyofanya yeye na Mkapa na Kikwete kwa miaka 30. Nchimbi akitoka Brazili alikokuwa balozi alidai kuwa kama wao kina Lowasa hata wangetawala miaka 40 wasingefikia aliyofanya Magufuli kwa muda ule. Au hawakusema? Legacy haifutiki hata mkimsingizia marehemu eti aliua watu ambao hakuna ndugu aliyefiwa. Yaani watu wa mtandaoni.Ishatosha jamani. Mwaka mzima bado unasherehekea kifo.