mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
Nimesema hvo kwa saba umesema 'hujuti'sijaua mtu mimi!
Nimesema hvo kwa sababu umesema 'hujutii'sijaua mtu mimi!
Sio kwamba yeye binafsi anasherehekea. Yuko kazini. Watu ambao usiku na mchana wanajitahidi kuwahadaa wananchi waamini Magufuli hakufanya chochote ktk utawala wake. Hawajui kuwa mambo yanajionyesha yenyewe. Je watayafuta vichwani mwetu?Ishatosha jamani. Mwaka mzima bado unasherehekea kifo.
WHERE IS AZORY GWANDA, BEN SAANANE, COCO BECH SANDARUSI MAITI, and many many other incidents OF PEOPLE VANISHING IN THIN AIRhakuna ndugu aliyefiwa
UWE UNAELEWA, SIJUTII SHIDA ZA UTAWALA WA SASANimesema hvo kwa sababu umesema 'hujutii'
Kama ya kuua watu hayatafutikaSio kwamba yeye binafsi anasherehekea. Yuko kazini. Watu ambao usiku na mchana wanajitahidi kuwahadaa wananchi waamini Magufuli hakufanya chochote ktk utawala wake. Hawajui kuwa mambo yanajionyesha yenyewe. Je watayafuta vichwani mwetu?
ok nimeshaelewaUWE UNAELEWA, SIJUTII SHIDA ZA UTAWALA WA SASA
Something is bugging inside you. Youre trying so hard to suppress your grief by pretending youre just fine. Playing reverse psychology wont help you man. Let it go man, come to terms with reality, it is what it is, he is gone for good, deal with water shortage and all that as calmly as any grown up man would do.Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
Sijamaliza hata kusoma uzi wako wala heading ila nilipoanza kusoma mwanzo wa heading tu naunga mkonoKuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
[emoji850]Samia na magufuli wote ni hopeless kiuongozi
Mchukie na mbowe kwa kumuua chacha wangwe na mzee ndesapesa.Binafsi magufuli nachukia mno kitendo cha kumuua Ben sanane Azory Gwanda na lissu kumkosakosa aiseee huo mstari wa red alishauvuka ilimpasa kufa. Tena bora amewahi kufa maana angestahafu kama wengine angetafutwa miguu kwà miguu auwawe kwà kulipa kisasi.
Sababu na mbinu zilizotumika kuwafyeka wahalifu enzi za Magufuli, na mbinu zinazotumika kuwafyeka wahalifu kwenye utawala huu awamu ya 6 kuna tofauti gani?Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
Mchukie na mbowe kwa kumuua chacha wangwe na mzee ndesapesa.