Akikamatwa mtasema anasingiziwa kama ishu ya ugaidiKwasababu vyombo vya dola vyote mnavyo na hamtaki kumkamata kwà hayo makosa basi sisi tunaamini haya ni majungu na umbea wa kike.
Ben Saanane Mbowe anafahamu aliko. Hata baba yake aliposikia mwanaye hayupo alimuuliza Mbowe mwanangu yulo wapi? Azory simkumbuki sawasawa ila kama ni yule mwandishi wa habari any thing could be a possibility. Wale magaidi usidhani kama walifurahia alivyokuwa akiwaripoti. Na kama alikuwa reporter, was he a political threat?. hao people vanishing in thin air ni wa kusadikika. Family members wao wasilalamike ila mitandao ndio iseme?WHERE IS AZORY GWANDA, BEN SAANANE, COCO BECH SANDARUSI MAITI, and many many other incidents OF PEOPLE VANISHING IN THIN AIR
SHALLOW ARGUMENT!Ben Saanane Mbowe anafahamu aliko. Hata baba yake aliposikia mwanaye hayupo alimuuliza Mbowe mwanangu yulo wapi? Azory simkumbuki sawasawa ila kama ni yule mwandishi wa habari any thing could be a possibility. Wale magaidi usidhani kama walifurahia alivyokuwa akiwaripoti. Na kama alikuwa reporter, was he a political threat?. hao people vanishing in thin air ni wa kusadikika. Family members wao wasilalamike ila mitandao ndio iseme?
Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
Kama serikali ipo na mbowe anafanya hayo makosa unayosema basi tulikuwa hatuna rais hapo ilibidi achukuluwe hatua no excuse.Ben Saanane Mbowe anafahamu aliko. Hata baba yake aliposikia mwanaye hayupo alimuuliza Mbowe mwanangu yulo wapi? Azory simkumbuki sawasawa ila kama ni yule mwandishi wa habari any thing could be a possibility. Wale magaidi usidhani kama walifurahia alivyokuwa akiwaripoti. Na kama alikuwa reporter, was he a political threat?. hao people vanishing in thin air ni wa kusadikika. Family members wao wasilalamike ila mitandao ndio iseme?