figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Madingi ya Mbinguni sijajiona kwenye list means tuko wengi zaidi ya hapo.Tknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachima picha ya Rais.
Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa.
Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
View attachment 3467164
NoumaTknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachima picha ya Rais.
Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa.
Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
View attachment 3467164
Jana jioni iliniwekea hivi nimejua kuhangaika 😭 na nyie iliwakuta hii?
View attachment 3467166
Si ndo nilitaka kushangaa mbona JF haifunguki bali inaload tu? mpaka nilipoamua kutumia njia mbadala.wameifunga jf usiku huu. nimelazimika kuingis VpN, ndio nitume ujumbe huu
Hili lipicha la nini sasa?
Hili lipicha la nini sasa?
Mimi vpn yangu iko on mda wote,nlivokutana na hilo bango nlistuka sana nlijua hata na vpn imedunda.Na kuna watu humu watarudi baada ya siku 90, watashangaa sisi tumedunda vipi
Nishapitwa na wakati....Tknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachima picha ya Rais.
Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa.
Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
View attachment 3467164