Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

Watu wapo MashaAllah.

Screenshot_20250907-101258.jpg
 
Wenye acceses na VPN tunaendelea kuselebuka na Mtandao wetu pendwa hahahaha
TCRA wamepigwa chenga ya kitovu kuishia minyoo kulia tumboni mwaaaaaa!

Hakika Max wewe sio wa taifa Ili wée ni jasusi la mbinguni

Tunawala wa ajabu sana wanashindana na akili kubwa wakati wao ni mapoyoyoyooo
 
Acha kutoa sifa za kijinga ukiwa kwenye keybord, jamaa akikakmatwa kufunguliwa kesi kama zile za Lisu au kupotezwa huna utakacho saidia.
 
kwa mfano Mello akakamatwa utajitokeza hata Mahakamani? Huu ukeybord worrior ni moja ya janga kubwa sana
Atakamatwa kwa kosa gani sasa? Tatizo tuna mijitu mioga kama wewe mmezaliana hovyo ndiyo mnakwamisha mabadiliko nchi hii. Tena usinizoee kabisa, huwa sijibizani na akili matope wa aina yako.
 
Acha kutoa sifa za kijinga ukiwa kwenye keybord, jamaa akikakmatwa kufunguliwa kesi kama zile za Lisu au kupotezwa huna utakacho saidia.
Alishafunguliwa makesi kibao na anawashinda mahakamani. Jamaa ana tuzo alipewa kule state. We unaambiwa hata saver za jf hazipo hapa bongo. Alishajua siku nyingi figisu za serekali ya ccm.
 
Back
Top Bottom