Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Huyu ndio muasisis wa tabu zote hizi, muda huu CCM ingekuwa chama cha upinzani
Huyu ndio muasisis wa tabu zote hizi, muda huu CCM ingekuwa chama cha upinzani
Ilinikuta hii na vpn ilikuwa on, nikasema loh tumekwisha.Jana jioni iliniwekea hivi nimejua kuhangaika 😭 na nyie iliwakuta hii?
View attachment 3467166
Wamefungiwa waliopo Tanzania, mimi nipo Netherlands-AmsterdamHuu mtihani.....Sasa kilichofungwa ni nini?
Bwashee,wabeba box tunadunda tu hata bila vpn.Mnatakiwa mfungiwe na vpn nibaki mwenyewe humu😅😅😅( utani)
Ajabu na waliofungia nao walikesha humu, majinga kweli ya kiwango cha kizimkazi🚮🚮🚮🚮🚮😂😂Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais.
Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa.
Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
View attachment 3467164
Nakubali.Wahaya IQ ni za kigiriki
Senkyuu fo infomesheniTeknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais.
Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa.
Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
View attachment 3467164
Hongereni sana bwashee 🤣🤣 box lidumu mileleBwashee,wabeba box tunadunda tu hata bila vpn.
Wanamtaka britanicca 🥹Max kashikwa shingo watu wanataka awape info za ID za watu fulani fulani wawasake mmoja mmoja wawapoteze duniani mmoja baada ya mwingine
Toka tukapambane kusema humu ni uogaUnapenda kuona watu wanakufa na kupotezwa mazima na makaburi yao kutokuonekana popote ndugu wanatafuta mpaka wanakusahau yule dogo mchora picha wa Mbeya hajarudi mpaka leo Mdude unajua alipo?
Na kwenye hii orodha, usikute na maccm nayo yamo! Hovyo kabisa.Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais.
Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa.
Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
View attachment 3467164
Mimi mwenyewe kuonekana rasmi ni baada ya siku 90! Kwa sass nitaendelea kuishi kama invicible kupitia VPN!Na kuna watu humu watarudi baada ya siku 90, watashangaa sisi tumedunda vipi
Sio kitu cha kuuliza mpaka hao TCCMRANa kwenye hii orodha, usikute na maccm nayo yamo! Hovyo kabisa.
Wao wenyewe wako humu kwa vpnTeknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais.
Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa.
Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
View attachment 3467164
Yes hata mimi vpn ilikua on.Ilinikuta hii na vpn ilikuwa on, nikasema loh tumekwisha.