Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

Jf ilikuwa ni uwanja wa maarifa ila watu wa siasa na chuki mmeharibu sana ..Kama ni siasa zifanyeni wazi ,kama ni chuki sambazeni mkiwa mnajulikana ..Haina impact kujificha wakati ni wanaume.
Unapenda kuona watu wanakufa na kupotezwa mazima na makaburi yao kutokuonekana popote ndugu wanatafuta mpaka wanakusahau yule dogo mchora picha wa Mbeya hajarudi mpaka leo Mdude unajua alipo?
 
Back
Top Bottom