Ukapambane na nani wewe kufa utakufa peke yako keyboard WarriorsToka tukapambane kusema humu ni uoga
So impractical mzee labda wa block zote which nayo pia haiwezekaniIli utumie VPN lazima uwe umejisajili TCRA,hapo ndio utajua hii serikali inawapuuzi sana,wanafunga mitandao halafu wanataka watoe taarifa kwa umma kupitia mitandao hiohio kwa VPN ambayo wamezuia kutumia
😀😀Kijora kavaa mwenyewe....JF ndio muzi kafara
Wao kumaliza hili wazime internet completely. Hadi uchaguzi upite, lakini hiyo hata apple and play store waki disable vpn bado kuna njia kibaoSo impractical mzee labda wa block zote which nayo pia haiwezekani
The only thing wanaweza fanya ni kuwaandika apple and playstore barua ya kudisable vpn apps kwa tanzania, zisionekane
I agree, cutting of internet ndio mbinu iliyobaki, lakin hata na hiyo pia itaathiri taasis zake, they know wakienda huko wataathirika woteWao kumaliza hili wazime internet completely. Hadi uchaguzi upite, lakini hiyo hata apple and play store waki disable vpn bado kuna njia kibao
Na uzalishaji katika nchi kwa sasa inategemea internet access. Watu wakisha ruhusu kuchanganyikiwa na kuweka akili pembeni, uharibifu kazima utokeeI agree, cutting of internet ndio mbinu iliyobaki, lakin hata na hiyo pia itaathiri taasis zake, they know wakienda huko wataathirika wote
Mkuu, Mimi natumia vpn na naweza kua-access.. Je TCRA wanauweza kutujua na kutufuatilia..?Tuwaambie watu watumie vpn
Mtajijua na li nchi lenu, wengine tupo nje ya nchi hilo zuio halituhusu.Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais.
Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa.
Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
View attachment 3467164
Siku zenu zinahesabika .Na kuna watu humu watarudi baada ya siku 90, watashangaa sisi tumedunda vipi
waifu material BICHWA KOMWE - Mzee wa kupambania Melancholic Extrovert Equation x Mbaga JrNgoja wafungie na hizo VPN tushindwe kuingia kabisa
wewe umejuajeJamii Forum imefungwa,, nyie mnafanya nini hapa?
Wahalifu wakubwa nyie.Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais.
Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa.
Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
View attachment 3467164
Kuna mtu nilikua namwambia haya maneno,mwaka wa tano huu bila yy nipo poa tu,kila nikikumbuka najiona nilikua mjinga kabisaKwa kifupi siwezi kuishi bila JF,
Haiwezekani......