Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu Maalim Seif.
Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa watanzania dhidi ya Ccm.
Wapemba waliuawa baada ya uchaguzi wa 2020 lakini baada ya uchaguzi viongozi wa Act wazalendo wakavuta mpunga na kujiunga na serikali ya umoja.
Watanzania sio wajinga na hawataki kupotezewa muda huku taifa lao linaliwa.