Pamoja na kujitutumua kwa nguvu zote. Watanzania Bara hawana mpango na Act Wazalendo na walishaitoa mioyoni kabisa

Pamoja na kujitutumua kwa nguvu zote. Watanzania Bara hawana mpango na Act Wazalendo na walishaitoa mioyoni kabisa

Hahahahaha aisee Zitto atawamaliza nyie watu mlimtabiria haya mwaka 2014 leo chama chake kina wabunge wengi kuliko CHADEMA wakuchaguliwa. Hivi nyie vijana wachadema mnasoma hata historia kweli mkajua tofauti za Zanzibar zimeanza lini? uchaguzi wa mwaka 1960 watu 68 wamekufa Zanzibar wewe unazungumzia wa 2020 someni acheni kupayuka tu.

kubalini tu mlimfukuza Zitto akaamua kupambana na hali yake mwenzenu kawazidi maarifa akawashawishi wafuasi wa CUF kujiunga nae na sasa imebaki historia. Kinachowasumbua CHADEMA sasa ni kuwa chama kikubwa bali kilichokosa brain za kuendesha chama kama zamani saa hii mmebaki na faraja zenu za mitandaoni na Space hakuna tena kina Slaa, Prof Safari and Baregu, Kitila na wengineo waliokuwa wanaweza kufanya tafiti wakaja na sera na njia mbadala.

Kulikoni kukaa na kukichawia ACT bora mpambane kujenga chama chenu ili muwapoteze ACT hadi huko ZNZ vinginevyo mtakuwa manpiga mark time kwenye mitandao na wenzenu wanazidi kukua hasa kwa nwenendo huu wa vijana wapayukaji Mola ajalie tu Mbowe atoke kwa kweli aje kuendesha chama chake maana nje kabaki Mnyika kama yatima wengine wote ni radicals tu
 
Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu maalim Seif.

Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa watanzania dhidi ya Ccm.

Wapemba waliuawa baada ya uchaguzi wa 2020 lakini baada ya uchaguzi viongozi wa Act wazalendo wakavuta mpunga na kujiunga na serikali ya umoja.

Watanzania sio wajinga na hawataki kupotezewa muda huku taifa lao linaliwa.
ACT chama Cha kwenye ma flash[emoji1]
 
Sidhani kama unajua ulichoandika au unafahamu uhalisia wa mambo kisiasa unaropoka kama unahara uharo.
Kwasababu mmefunzwa na kuamini kuropoka tu huwezi shinda kwa hoja bali matusi na kebehi, haya ACT imekufa na CHADEMA ndo inaongoza serikali ni chma tawala furahi sasa maana namuona Lissu hapa anapita na ving'ora.
 
Sidhani kama unajua ulichoandika au unafahamu uhalisia wa mambo kisiasa unaropoka kama unahara uharo.
Mbona kaongea vizuri tu na ameleweka, wewe Kama hujamuelewa basi ujue shida iko kwako. Ukweli cdm Zitto anawakimbiza vibaya Sana, Zittto siasa za Tz anazielewa vzri ndio maana chama chake kinasonga mbele na wanachama wake na viongozi was Act wapo salama. Ujuaji wenu cdm ndio maana mmejaa magerezani na wengine kukimbia nchi.
 
Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu maalim Seif.

Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa watanzania dhidi ya Ccm.

Wapemba waliuawa baada ya uchaguzi wa 2020 lakini baada ya uchaguzi viongozi wa Act wazalendo wakavuta mpunga na kujiunga na serikali ya umoja.

Watanzania sio wajinga na hawataki kupotezewa muda huku taifa lao linaliwa.
Zito ni takataka tu kwa watz wenye akili zao
 
Kama mnajua, hakuna chama cha siasa (kama kweli ni chama cha siasa) cha hovyo kama ACT. Hakuna mwanasiasa hopeless kama Zito! Hakuna kijana kiongozi (kama kweli ni kiongozi) kama
 
Maelezo yako mengi ni sahihi isipokua jambo la udini. Kwanini kila kwenye mkusanyiko wa watu iwe ni kwenye vyama vya siasa, uongozi wa nchi, mashirika ya umma na hata binafsi inapotoke idadi ya majina ya wahusika kukawa na waislamu wame wa out number wakristo taasisi hiyo inakua labelled ni ya kidini au ina udini!!!

Siku zote Marehemu Magufuli kwa mfano hakuzingati usawa na uwiano wa kiimani na mtawanyiko wa kijamii katika teuzi zake. Alipendelea sana na waziwazi watu wa imani yake lakini hakukua na kelele za "udini" kumuhusu yeye badala yake kulikua na kelele za ukabila tu!

Ubaguzi wa kiimani/kidini unaanza na tabaka la imani lililokua na advantage na privileges dhidi ya imani nyingine na siku zote hawatosheki
yamezoea vya kunyonga hayo, vya kuchinja hayaviwezi.
 
Back
Top Bottom