Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Ccm hawshindi wanashinda kisa waa policeHata kwenye Kamati kuu ya Chadema zaid ya nusu ya Wajumbe kule ni CCM…sema wapo kule kikazi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm hawshindi wanashinda kisa waa policeHata kwenye Kamati kuu ya Chadema zaid ya nusu ya Wajumbe kule ni CCM…sema wapo kule kikazi tu
🤣🤣🤣kumbeHiki cham kimebeba tabia za Zitto Kabwe kijana anaetafuta ukwasi kwa udi uvumba kwanza kwa wasiijua Zitto ni timu Msoga
ACT chama Cha kwenye ma flash[emoji1]Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu maalim Seif.
Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa watanzania dhidi ya Ccm.
Wapemba waliuawa baada ya uchaguzi wa 2020 lakini baada ya uchaguzi viongozi wa Act wazalendo wakavuta mpunga na kujiunga na serikali ya umoja.
Watanzania sio wajinga na hawataki kupotezewa muda huku taifa lao linaliwa.
Yaani ACT waungane na CCM afu pawepo na usawa husiibiwe kura ATA moja,,Chadema atashinda asubui na mapema[emoji3]
Kwasababu mmefunzwa na kuamini kuropoka tu huwezi shinda kwa hoja bali matusi na kebehi, haya ACT imekufa na CHADEMA ndo inaongoza serikali ni chma tawala furahi sasa maana namuona Lissu hapa anapita na ving'ora.Sidhani kama unajua ulichoandika au unafahamu uhalisia wa mambo kisiasa unaropoka kama unahara uharo.
Mbona kaongea vizuri tu na ameleweka, wewe Kama hujamuelewa basi ujue shida iko kwako. Ukweli cdm Zitto anawakimbiza vibaya Sana, Zittto siasa za Tz anazielewa vzri ndio maana chama chake kinasonga mbele na wanachama wake na viongozi was Act wapo salama. Ujuaji wenu cdm ndio maana mmejaa magerezani na wengine kukimbia nchi.Sidhani kama unajua ulichoandika au unafahamu uhalisia wa mambo kisiasa unaropoka kama unahara uharo.
Act inawabunge wengi kuliko cdm, au hujui hiyo au hutaki?Kinasonga mbele wapi? Huo ukanda na udini waliorithi toka Cuf?
Sisi kwetu zambarau wanakula ndege.Zambarau halijawahi kua tunda linaloheshimika,linalopanda thamani yaani Ni tunda flani hua lipo lipo tu.
Zito ni takataka tu kwa watz wenye akili zaoKinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu maalim Seif.
Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa watanzania dhidi ya Ccm.
Wapemba waliuawa baada ya uchaguzi wa 2020 lakini baada ya uchaguzi viongozi wa Act wazalendo wakavuta mpunga na kujiunga na serikali ya umoja.
Watanzania sio wajinga na hawataki kupotezewa muda huku taifa lao linaliwa.
Kwa akili yako timamu kabisa unaamini uchaguzi wa 2020 ulikua uchaguzi wa fair and free.Act inawabunge wengi kuliko cdm, au hujui hiyo au hutaki?
Kama mnajua, hakuna chama cha siasa (kama kweli ni chama cha siasa) cha hovyo kama ACT. Hakuna mwanasiasa hopeless kama Zito! Hakuna kijana kiongozi (kama kweli ni kiongozi) kamaKinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu maalim Seif.
Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa watanzania dhidi ya Ccm.
Wapemba waliuawa baada ya uchaguzi wa 2020 lakini baada ya uchaguzi viongozi wa Act wazalendo wakavuta mpunga na kujiunga na serikali ya umoja.
Watanzania sio wajinga na hawataki kupotezewa muda huku taifa lao linaliwa.
Hahah mvinyo wa zambarau hata wagogo hawatautaka chief.Duh!....si linatumika kutengeneza juice na mvinyo (au ni zabibu na si zambarau)?
Na wewe una akili ?Zito ni takataka tu kwa watz wenye akili zao
Na ACT ndicho chama chenye bendera nyingi barabarani kuliko idadi wa wanachama wake.Act inawabunge wengi kuliko cdm, au hujui hiyo au hutaki?
labda kama unamaanisha ile dola (fedha) ya ZimbabweACT itakufa Kama PAC ilivyokufa sauz.
CCM itakufa
CHADEMA itashika dola kabla nusu Karne haijafika, ina watu.
leo mbege wapi manka?Act ni vibarak wa ccm..yani ni tawi kama ilivyo uvccm na uwt.
Hakuna mwenye akili anayeweza ungana na vibaraka hao...labda wale wa kule mdebwedo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mrembo unahamu ya kuliwa goti..leo mbege wapi manka?
yamezoea vya kunyonga hayo, vya kuchinja hayaviwezi.Maelezo yako mengi ni sahihi isipokua jambo la udini. Kwanini kila kwenye mkusanyiko wa watu iwe ni kwenye vyama vya siasa, uongozi wa nchi, mashirika ya umma na hata binafsi inapotoke idadi ya majina ya wahusika kukawa na waislamu wame wa out number wakristo taasisi hiyo inakua labelled ni ya kidini au ina udini!!!
Siku zote Marehemu Magufuli kwa mfano hakuzingati usawa na uwiano wa kiimani na mtawanyiko wa kijamii katika teuzi zake. Alipendelea sana na waziwazi watu wa imani yake lakini hakukua na kelele za "udini" kumuhusu yeye badala yake kulikua na kelele za ukabila tu!
Ubaguzi wa kiimani/kidini unaanza na tabaka la imani lililokua na advantage na privileges dhidi ya imani nyingine na siku zote hawatosheki