Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Nyie na e ramani tuliyopewa na AYATOLLAH?Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu maalim Seif.
Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa watanzania dhidi ya Ccm.
Wapemba waliuawa baada ya uchaguzi wa 2020 lakini baada ya uchaguzi viongozi wa Act wazalendo wakavuta mpunga na kujiunga na serikali ya umoja.
Watanzania sio wajinga na hawataki kupotezewa muda huku taifa lao linaliwa.
Zitto, njoo usome hii comment. Watanzania tunakiona chama chako cha ACT Wazalendo ni chama cha kizandiki, chama cha kimamliki, chama mumiani cha kuunyonya upinzani damu hadi ufeKinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu maalim Seif.
Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa watanzania dhidi ya Ccm.
Wapemba waliuawa baada ya uchaguzi wa 2020 lakini baada ya uchaguzi viongozi wa Act wazalendo wakavuta mpunga na kujiunga na serikali ya umoja.
Watanzania sio wajinga na hawataki kupotezewa muda huku taifa lao linaliwa.
Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu maalim Seif.
Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa watanzania dhidi ya Ccm.
Wapemba waliuawa baada ya uchaguzi wa 2020 lakini baada ya uchaguzi viongozi wa Act wazalendo wakavuta mpunga na kujiunga na serikali ya umoja.
Watanzania sio wajinga na hawataki kupotezewa muda huku taifa lao linaliwa.
Unazungumzia chadema hii iliomsaliti Mbowe? Mlituambia mtaendeleza makongamano ya katiba yako wapi sasa. Kujazana mahakamani na hashtag za katiba mpya mitandaoni sio agizo la mwenyekiti.ACT itakufa Kama PAC ilivyokufa sauz.
CCM itakufa
CHADEMA itashika dola kabla nusu Karne haijafika, ina watu.
Duh!....si linatumika kutengeneza juice na mvinyo (au ni zabibu na si zambarau)?Zambarau halijawahi kua tunda linaloheshimika,linalopanda thamani yaani Ni tunda flani hua lipo lipo tu.
Achana NAO hao washafilisika kwao wao UDINI nikuwepo waislam ktk hiyo taasisi na alama ya kutokuwepo UDINI NI kwamba kuanzia mkata majani mpaka kiongozi WA juu woooote WAWE ni wagalatia hiyo ndio tafcri Yao NI WA kuwapuza tuMaelezo yako mengi ni sahihi isipokua jambo la udini. Kwanini kila kwenye mkusanyiko wa watu iwe ni kwenye vyama vya siasa, uongozi wa nchi, mashirika ya umma na hata binafsi inapotoke idadi ya majina ya wahusika kukawa na waislamu wame wa out number wakristo taasisi hiyo inakua labelled ni ya kidini au ina udini!!!
Siku zote Marehemu Magufuli kwa mfano hakuzingati usawa na uwiano wa kiimani na mtawanyiko wa kijamii katika teuzi zake. Alipendelea sana na waziwazi watu wa imani yake lakini hakukua na kelele za "udini" kumuhusu yeye badala yake kulikua na kelele za ukabila tu!
Ubaguzi wa kiimani/kidini unaanza na tabaka la imani lililokua na advantage na privileges dhidi ya imani nyingine na siku zote hawatosheki
Bora uendeleee kuota za kujikojolea kitandani kuliko kuota ndoto hyo ccm kutoka madarakani mpka POLICE WOTE WAFEACT itakufa Kama PAC ilivyokufa sauz.
CCM itakufa
CHADEMA itashika dola kabla nusu Karne haijafika, ina watu.
Hawa chadema ni chuki na wivu ndio vinawasumbua, ACT ni chama makini na viongozi makini. Kwa kutokujielewa kwenu ndio maana maishia magerezani na kukimbia nchi.Haiwezekan ACT ifanane na Chadema kwny Siasa zake
Kama lazima wafanane basi hakuna haja ya kuwepo
Kila chama kitumie maarifa na mbinu zake kufanya Siasa
Bora uendeleee kuota za kujikojolea kitandani kuliko kuota ndoto hyo ccm kutoka madarakani mpka POLICE WOTE WAFE