Pamoja na kukaa rumande siku 20. Kamanda wa CHADEMA yupo imara. CCM imechokwa CCM imechokwa

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Ushujaa wa hali ya juušŸ‘‡

Mahakama ya Wilaya ya Geita imemwachia kwa dhamana Mwenyekiti wa CHADEMA Geita Vijijini, Neema Chozaile, baada ya kushikiliwa mahabusu kwa zaidi ya siku 20.

Chozaile anakabiliwa na shtaka la kula njama za kumuua askari polisi, shauri ambalo linaendelea kusikilizwa mahakamani hapo.

Baada ya kusikiliza maombi yaliyowasilishwa, Mahakama ilikubali kumwachia kwa dhamana huku ikimtaka kuendelea kuzingatia masharti yote ya dhamana wakati shauri hilo likiendelea.

Mahakama imeahirisha shauri hilo na kulipangia kutajwa tena Agosti 3, 2026, kwa hatua zaidi za kisheria.
Chozaile ameachiwa huru kwa dhamana huku akitarajiwa kurejea mahakamani tarehe hiyo ya Agosti 3 kwa ajili ya kuendelea na mwenendo wa shauri linalomkabili.

Screenshot 2026-07-21 at 08-39-33 Facebook.png

Pia soma: Mawakili wa Serikali wakwamisha zoezi la kupelekwa mahakamani mwenyekiti wa CHADEMA Geita, Neema Chozaire
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
Ushujaa wa hali ya juušŸ‘‡

Mahakama ya Wilaya ya Geita imemwachia kwa dhamana Mwenyekiti wa CHADEMA Geita Vijijini, Neema Chozaile, baada ya kushikiliwa mahabusu kwa zaidi ya siku 20.

Chozaile anakabiliwa na shtaka la kula njama za kumuua askari polisi, shauri ambalo linaendelea kusikilizwa mahakamani hapo.

Baada ya kusikiliza maombi yaliyowasilishwa, Mahakama ilikubali kumwachia kwa dhamana huku ikimtaka kuendelea kuzingatia masharti yote ya dhamana wakati shauri hilo likiendelea.

Mahakama imeahirisha shauri hilo na kulipangia kutajwa tena Agosti 3, 2026, kwa hatua zaidi za kisheria.
Chozaile ameachiwa huru kwa dhamana huku akitarajiwa kurejea mahakamani tarehe hiyo ya Agosti 3 kwa ajili ya kuendelea na mwenendo wa shauri linalomkabili.

Pia soma: Mawakili wa Serikali wakwamisha zoezi la kupelekwa mahakamani mwenyekiti wa CHADEMA Geita, Neema Chozaire

Kumbe Poilice nao wanaogopa kuuawa ....!!?
 
watu ni wachache sana mahakamani gentleman, maana yake hamfanyi mobilisation right au mnaonekana ni wendawazimu tu?šŸ’
 
Ahsante sana kumbe unamfuatilia Tundu Lissu raisi wako ajaye safi sana. Endelea kutuhabarisha
 
Ushujaa wa hali ya juušŸ‘‡
Naunga mkono hoja, kiukweli kabisa hata ukimuangalia tuu katika picha, na hair style yake ya dreads, huyu ni mwanamke wa shoka, kama tuu walivyokuwa kina Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko na wengine wengi, wameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, mfano picha hii
1784629099932.png

Halafu kesho yanatokea majinga fulani, yanafisha haki zao, wanapotafuta haki zao, mnawaida covidi 19!, niliwashauri Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

P
 
Ahsante sana kumbe unamfuatilia Tundu Lissu raisi wako ajaye safi sana. Endelea kutuhabarisha
Yes gentleman,
nafuatilia sana uendawazimu wa mtibua minywele huyo analalamika kwamba walioenda kushangaa ukichaa wake wakupiga mayowe na kurusha mikono hewani mahakamani ni wachache mno šŸ’
 
Naunga mkono hoja, kiukweli kabisa hata ukimuangalia tuu katika picha, na hair style yake ya dreads, huyu ni mwanamke wa shoka, kama tuu walivyokuwa kina Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko na wengine wengi, wameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, mfano picha hii
View attachment 3634217
Halafu kesho yanatokea majinga fulani, yanafisha haki zao, wanapotafuta haki zao, mnawaida covidi 19!, niliwashauri Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

P
Wewe na Wanawake wa CHADEMA??????!!
 
Wewe na Wanawake wa CHADEMA??????!!
No, sio na wanawake wa Chadema tuu, ni wanawake wote, sipendi kuona mwanamke yoyote akinyanyaswa, naumia sana na huwa nawapigania!, mfano Ester Bulaya, nilimspoti toka yupo CCM, Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
Hata wanawake wa CCM wakinyanyaswa, nawapigania Vicky Kamata Anastahili Pongezi! Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!

P
 
Huyo Dada ana mbinu gani za kupanga mauaji dhidi ya Askari mwenye mfunzo maalumu?!
Amezaliwa tukimuona hivi na kukulia Maeneo ya Nzera na Geita bila hata kuwa na rekodi ya utukutu.

Ni fitina za Kisiasa za CCM tu na akina Mbunge Musukuma.Dada ni mpigania haki za wanao onewa na amerithi ujasiri huo kutoka kwa Mama yake Mzazi Marehemu Mama Chozaire,aliyekuwa Kiongozi wa BAWACHA-Geita miaka ya nyuma.

Amewahi kumkabiri Msukuma bila uoga kwenye Ubunge Jimbo la Geita Vijijini na akatoa upinzani kwa kuwa mshindi wa pili nyuma ya Musukuma.

No, sio na wanawake wa Chadema tuu, ni wanawake wote, sipendi kuona mwanamke yoyote akinyanyaswa, naumia sana na huwa nawapigania!, mfano Ester Bulaya, nilimspoti toka yupo CCM, Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
Hata wanawake wa CCM wakinyanyaswa, nawapigania Vicky Kamata Anastahili Pongezi! Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!

P
Picha mliyopiga na Upendo Peneza mmedamshi mlikuwa wapi hapo Mkuu?
 
katakata kwelikweli ila hayuko sawa

polisi wangese sana hawajamdandia hawa
 
watu ni wachache sana mahakamani gentleman, maana yake hamfanyi mobilisation right au mnaonekana ni wendawazimu tu?šŸ’
Juha la Abdul linafikir hiyo ni habari baada ya mpango fake wa kumchafua Heche kubuma na bado mpaka mnye mavi kabisa, by the way vipi Nilesh nasikia kasema alimpa Heche hela au wewe juha haujafikiwa na hio habari.
 
Yes gentleman,
nafuatilia sana uendawazimu wa mtibua minywele huyo analalamika kwamba walioenda kushangaa ukichaa wake wakupiga mayowe na kurusha mikono hewani mahakamani ni wachache mno šŸ’
Juha linapiga mayowe jf na bado mpaka mnye mavi nguruwe nyinyi, heche amewanyoosha mpaka mmekimbia uzushi wenu.
 
Uonevu huu tena.Njama ya kumuua polisi afanye huyu?.Hata angefanya ni sawa tu kwani polisi wanamchango gani hapa kwenye hili taifa.Kula tu mishahara ya bure ya walipa kodi.
 
Back
Top Bottom