Ushujaa wa hali ya juu👇
Mahakama ya Wilaya ya Geita imemwachia kwa dhamana Mwenyekiti wa CHADEMA Geita Vijijini, Neema Chozaile, baada ya kushikiliwa mahabusu kwa zaidi ya siku 20.
Chozaile anakabiliwa na shtaka la kula njama za kumuua askari polisi, shauri ambalo linaendelea kusikilizwa mahakamani hapo.
Baada ya kusikiliza maombi yaliyowasilishwa, Mahakama ilikubali kumwachia kwa dhamana huku ikimtaka kuendelea kuzingatia masharti yote ya dhamana wakati shauri hilo likiendelea.
Mahakama imeahirisha shauri hilo na kulipangia kutajwa tena Agosti 3, 2026, kwa hatua zaidi za kisheria.
Chozaile ameachiwa huru kwa dhamana huku akitarajiwa kurejea mahakamani tarehe hiyo ya Agosti 3 kwa ajili ya kuendelea na mwenendo wa shauri linalomkabili.
Pia soma: Mawakili wa Serikali wakwamisha zoezi la kupelekwa mahakamani mwenyekiti wa CHADEMA Geita, Neema Chozaire
watu ni wachache sana mahakamani gentleman, maana yake hamfanyi mobilisation right au mnaonekana ni wendawazimu tu?🐒Ushujaa wa hali ya juu👇
Mahakama ya Wilaya ya Geita imemwachia kwa dhamana Mwenyekiti wa CHADEMA Geita Vijijini, Neema Chozaile, baada ya kushikiliwa mahabusu kwa zaidi ya siku 20.
Chozaile anakabiliwa na shtaka la kula njama za kumuua askari polisi, shauri ambalo linaendelea kusikilizwa mahakamani hapo.
Baada ya kusikiliza maombi yaliyowasilishwa, Mahakama ilikubali kumwachia kwa dhamana huku ikimtaka kuendelea kuzingatia masharti yote ya dhamana wakati shauri hilo likiendelea.
Mahakama imeahirisha shauri hilo na kulipangia kutajwa tena Agosti 3, 2026, kwa hatua zaidi za kisheria.
Chozaile ameachiwa huru kwa dhamana huku akitarajiwa kurejea mahakamani tarehe hiyo ya Agosti 3 kwa ajili ya kuendelea na mwenendo wa shauri linalomkabili.
Pia soma: Mawakili wa Serikali wakwamisha zoezi la kupelekwa mahakamani mwenyekiti wa CHADEMA Geita, Neema Chozaire
Ahsante sana kumbe unamfuatilia Tundu Lissu raisi wako ajaye safi sana. Endelea kutuhabarishawatu ni wachache sana mahakamani gentleman, maana yake hamfanyi mobilisation right au mnaonekana ni wendawazimu tu?🐒
Naunga mkono hoja, kiukweli kabisa hata ukimuangalia tuu katika picha, na hair style yake ya dreads, huyu ni mwanamke wa shoka, kama tuu walivyokuwa kina Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko na wengine wengi, wameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, mfano picha hiiUshujaa wa hali ya juu👇
Yes gentleman,Ahsante sana kumbe unamfuatilia Tundu Lissu raisi wako ajaye safi sana. Endelea kutuhabarisha
Wewe na Wanawake wa CHADEMA??????!!Naunga mkono hoja, kiukweli kabisa hata ukimuangalia tuu katika picha, na hair style yake ya dreads, huyu ni mwanamke wa shoka, kama tuu walivyokuwa kina Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko na wengine wengi, wameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, mfano picha hii
View attachment 3634217
Halafu kesho yanatokea majinga fulani, yanafisha haki zao, wanapotafuta haki zao, mnawaida covidi 19!, niliwashauri Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
P
No, sio na wanawake wa Chadema tuu, ni wanawake wote, sipendi kuona mwanamke yoyote akinyanyaswa, naumia sana na huwa nawapigania!, mfano Ester Bulaya, nilimspoti toka yupo CCM, Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!Wewe na Wanawake wa CHADEMA??????!!
Picha mliyopiga na Upendo Peneza mmedamshi mlikuwa wapi hapo Mkuu?No, sio na wanawake wa Chadema tuu, ni wanawake wote, sipendi kuona mwanamke yoyote akinyanyaswa, naumia sana na huwa nawapigania!, mfano Ester Bulaya, nilimspoti toka yupo CCM, Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
Hata wanawake wa CCM wakinyanyaswa, nawapigania Vicky Kamata Anastahili Pongezi! Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!
P
Pi
Picha mliyopiga na Upendo Peneza mmedamshi mlikuwa wapi hapo Mkuu?
Juha la Abdul linafikir hiyo ni habari baada ya mpango fake wa kumchafua Heche kubuma na bado mpaka mnye mavi kabisa, by the way vipi Nilesh nasikia kasema alimpa Heche hela au wewe juha haujafikiwa na hio habari.watu ni wachache sana mahakamani gentleman, maana yake hamfanyi mobilisation right au mnaonekana ni wendawazimu tu?🐒
Juha linapiga mayowe jf na bado mpaka mnye mavi nguruwe nyinyi, heche amewanyoosha mpaka mmekimbia uzushi wenu.Yes gentleman,
nafuatilia sana uendawazimu wa mtibua minywele huyo analalamika kwamba walioenda kushangaa ukichaa wake wakupiga mayowe na kurusha mikono hewani mahakamani ni wachache mno 🐒