Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Walijuaje anataka kununua askari?Ushujaa wa hali ya juu👇
Mahakama ya Wilaya ya Geita imemwachia kwa dhamana Mwenyekiti wa CHADEMA Geita Vijijini, Neema Chozaile, baada ya kushikiliwa mahabusu kwa zaidi ya siku 20.
Chozaile anakabiliwa na shtaka la kula njama za kumuua askari polisi, shauri ambalo linaendelea kusikilizwa mahakamani hapo.
Baada ya kusikiliza maombi yaliyowasilishwa, Mahakama ilikubali kumwachia kwa dhamana huku ikimtaka kuendelea kuzingatia masharti yote ya dhamana wakati shauri hilo likiendelea.
Mahakama imeahirisha shauri hilo na kulipangia kutajwa tena Agosti 3, 2026, kwa hatua zaidi za kisheria.
Chozaile ameachiwa huru kwa dhamana huku akitarajiwa kurejea mahakamani tarehe hiyo ya Agosti 3 kwa ajili ya kuendelea na mwenendo wa shauri linalomkabili.
Pia soma: Mawakili wa Serikali wakwamisha zoezi la kupelekwa mahakamani mwenyekiti wa CHADEMA Geita, Neema Chozaire
Sidhani kama huyu yupo kwenye hilo kundi la makahaba wa kisiasa.Naunga mkono hoja, kiukweli kabisa hata ukimuangalia tuu katika picha, na hair style yake ya dreads, huyu ni mwanamke wa shoka, kama tuu walivyokuwa kina Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko na wengine wengi, wameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, mfano picha hii
View attachment 3634217
Halafu kesho yanatokea majinga fulani, yanafisha haki zao, wanapotafuta haki zao, mnawaida covidi 19!, niliwashauri Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
P
Sawa..Nitumie namba yake basi
Yoh yoh mkata viuno teenaa kwenye uboraaa kabisa nyuzi za chadema hazikupiti hata moja HONGERA KWA KUIPENDA CHADEMA ENDEREA HIVYO HIVYO MWAMBA.watu ni wachache sana mahakamani gentleman, maana yake hamfanyi mobilisation right au mnaonekana ni wendawazimu tu?🐒
Waungwana, huwa hawagawi number za watu bila idhini ya mhusika. Number za kuwa shared ni zile za public officials kama unataka number ya maza, vp, pm, DGIS, CDF, IGP mawaziri na wakurugenzi, nakupa, lakini numbers za private people!, no!, sorry!.Sawa..Nitumie namba yake basi
Hakuna noma MkuuWaungwana, huwa hawagawi number za watu bila idhini ya mhusika. Number za kuwa shared ni zile za public officials kama unataka number ya maza, vp, pm, DGIS, CDF, IGP mawaziri na wakurugenzi, nakupa, lakini numbers za private people!, no!, sorry!.
P