Pamoja na kupewa fedha na silaha zinazofikia thamani ya dola bilioni 60, bado Ukraine inalialia kuwa imezidiwa kwa mbali na urusi! Hii imekaaje?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Nadhani hili ni dili! Ukraine inapewa silaha hewa halafu wajanja wanaweka fedha mfukoni!! Kuna taarifa ilitoka kuwa ni asilimia 30 tu ya silaha zinazotolewa na nchi za magharibi kwenda ukraine ndizo zinazowafikia walengwa!! Watoa kodi wa nchi za magharibi wanapigwa pakubwa sana!! Silaha za dola bilioni 60!! siyo mchezo kama kwelin zingefika huko!! Bajeti hiyo ni mara mbili ya ile ya Urusi katika kipindi hiki cha vita.

Kinachofanyika bila shaka watu wanaweka pesa kibindoni kwa kuwashirikisha Zelensky na watu wake wachache halafu silaha kiduchu tu ndo zinapelekwa huko!!

Ukraine has repeatedly argued that an uninterrupted flow of Western weapons are key to its survival on the battlefield. Since February, the US has approved more than $54 billion of economic and military aid to Ukraine, while the UK has committed nearly $3 billion in military aid alone, and the EU has spent another $2.5 billion on arms for Kiev.

Despite the influx of weapons, Ukrainian President Vladimir Zelensky remarked last week that his military remains outnumbered and outgunned by Russia’s. Describing the fighting in Donbass as “hell,” Zelensky appealed to the US and its allies for even more arms and equipment, particularly HIMARS multiple launch rocket systems.

70% of Western weapons sent to Ukraine don’t reach troops – CBS.​

With the US and its allies pledging unprecedented levels of military support to Ukraine, a recent CBS News report suggested that only around 30% of the weapons sent by the West actually make it to the front lines. The report adds to ongoing rumors of waste, corruption, and black market profiteering.
 
fanyeni kazi ile vita russia analo safari hii kakalia dole
 
[emoji1258][emoji1258] Sisi Wala hatuna haraka, lengo letu ni kumpigisha mtu danadana Mpaka aishiwe pumzi [emoji12].., urusi mpaka ataita maji mmaa
 
Kwa akili yako unadhani URUSI hana marafiki.marafiki wa URUSI wana nguvu sana kwenye mambo ya kivita kwa iyo kama akitaji msaada awezi kukosa.na uzuri vita inapiganiwa UKRAINE,kwa iyo viwanda vya SILAHA vinaendelea kufanya kazi URUSI
[emoji1258][emoji1258] Sisi Wala hatuna haraka, lengo letu ni kumpigisha mtu danadana Mpaka aishiwe pumzi [emoji12].., urusi mpaka ataita maji mmaa
 
Nadhani hili ni dili! Ukraine inapewa silaha hewa halafu wajanja wanaweka fedha mfukoni!! Kuna taarifa ilitoka kuwa ni asilimia 30 tu ya silaha zinazotolewa na nchi za magharibi kwenda ukraine ndizo zinazowafikia walengwa!! Watoa kodi wa nchi za magharibi wanapigwa pakubwa sana!! Silaha za dola bilioni 60!! siyo mchezo kama kwelin zingefika huko!! Bajeti hiyo ni mara mbili ya ile ya Urusi katika kipindi hiki cha vita.

Kinachofanyika bila shaka watu wanaweka pesa kibindoni kwa kuwashirikisha Zelensky na watu wake wachache halafu silaha kiduchu tu ndo zinapelekwa huko!!

Ukraine has repeatedly argued that an uninterrupted flow of Western weapons are key to its survival on the battlefield. Since February, the US has approved more than $54 billion of economic and military aid to Ukraine, while the UK has committed nearly $3 billion in military aid alone, and the EU has spent another $2.5 billion on arms for Kiev.

Despite the influx of weapons, Ukrainian President Vladimir Zelensky remarked last week that his military remains outnumbered and outgunned by Russia’s. Describing the fighting in Donbass as “hell,” Zelensky appealed to the US and its allies for even more arms and equipment, particularly HIMARS multiple launch rocket systems.

70% of Western weapons sent to Ukraine don’t reach troops – CBS.​

With the US and its allies pledging unprecedented levels of military support to Ukraine, a recent CBS News report suggested that only around 30% of the weapons sent by the West actually make it to the front lines. The report adds to ongoing rumors of waste, corruption, and black market profiteering.
Hii ishu imekua moto sana mkuu ,CNN nimeiona pia,aisee wazungu nao matatizo ,maana nasikia wanachonga na maofisa wakubwa wa jeshi mzigo unaingia kiduchu ,mwingine unafaulishwa hii skendo ni mbaya sana
 
Mkuu ngoma bado mbichi hii, pia kumbuka ya kuwa NATO walisema lengo lao ni kuona hii vita inachukua muda mrefu zaidi.

Kwa kudhihirisha hili, wametenga bajeti ya miaka mitano kuisaidia Ukraine. Russia atateka maeneo na baadae atayaachia, vita itaenda kwa namna hii kwa muda wote huo.
Screenshot_20220808-203205_Twitter.jpg
 
Hii ishu imekua moto sana mkuu ,CNN nimeiona pia,aisee wazungu nao matatizo ,maana nasikia wanachonga na maofisa wakubwa wa jeshi mzigo unaingia kiduchu ,mwingine unafaulishwa hii skendo ni mbaya sana
Naona mmeanza kujifariji na Main Stream Media zenu eeeh
Ukweli tunaujua munapeleka silaha zakila rangi ila TAIFA TEULE LA RUSSIA zinamalizana nazo
Mlidhani RUSSIA dhaifu sasa mnatafta vijisababu sababu
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ngoma bado mbichi hii, pia kumbuka ya kuwa NATO walisema lengo lao ni kuona hii vita inachukua muda mrefu zaidi.

Kwa kudhihirisha hili, wametenga bajeti ya miaka mitano kuisaidia Ukraine. Russia atateka maeneo na baadae atayaachia, vita itaenda kwa namna hii kwa muda wote huo.View attachment 2318333
Hata RUSSIA lengo lake SMO ichukue muda mrefu zaidi
Kwauchache ichukue miaka kumi ili muoneshane nani kidume
RUSSIA kamatia hapo hapo usiachie hata sekunde
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin lazima adhibitiwe Kwa gharama yoyote Ile,jirani zake wote wana wasiwasi. Anataka arudishe USSR lakini hilo haliwezi kutokea kwenye hii dunia Labda kama akijitoa akili akavamia nchi za NATO.

Nadhani hili ni dili! Ukraine inapewa silaha hewa halafu wajanja wanaweka fedha mfukoni!! Kuna taarifa ilitoka kuwa ni asilimia 30 tu ya silaha zinazotolewa na nchi za magharibi kwenda ukraine ndizo zinazowafikia walengwa!! Watoa kodi wa nchi za magharibi wanapigwa pakubwa sana!! Silaha za dola bilioni 60!! siyo mchezo kama kwelin zingefika huko!! Bajeti hiyo ni mara mbili ya ile ya Urusi katika kipindi hiki cha vita.

Kinachofanyika bila shaka watu wanaweka pesa kibindoni kwa kuwashirikisha Zelensky na watu wake wachache halafu silaha kiduchu tu ndo zinapelekwa huko!!

Ukraine has repeatedly argued that an uninterrupted flow of Western weapons are key to its survival on the battlefield. Since February, the US has approved more than $54 billion of economic and military aid to Ukraine, while the UK has committed nearly $3 billion in military aid alone, and the EU has spent another $2.5 billion on arms for Kiev.

Despite the influx of weapons, Ukrainian President Vladimir Zelensky remarked last week that his military remains outnumbered and outgunned by Russia’s. Describing the fighting in Donbass as “hell,” Zelensky appealed to the US and its allies for even more arms and equipment, particularly HIMARS multiple launch rocket systems.

70% of Western weapons sent to Ukraine don’t reach troops – CBS.​

With the US and its allies pledging unprecedented levels of military support to Ukraine, a recent CBS News report suggested that only around 30% of the weapons sent by the West actually make it to the front lines. The report adds to ongoing rumors of waste, corruption, and black market profiteering.
Usiwe mjinga kiasi hicho. Ni wapi Ukraine ilipopewa msaada wa $ 60B? Unajiropokea TU.

Mabunge ya Marekani (Congress na Senate) walipitisha kiasi Cha $ 40B kwa ajili ya msaada kwa Ukraine. Fedha Hizo huidhinishwa na Serikali kwa mafungu bila kuhitaji kupitishwa Tena na Mabunge ya Marekani. Mpaka Sasa, Kati ya $ 40B ambazo zimeidhinishwa kwa ajili ya Ukraine,Ni $ 8.8B ambazo Zilishakwenda Ukraine. Zaidi ya $ 31.2B bado hazijaenda. Hata Hizo $ 40B ziliidhinishwa kutumika mpaka mwishoni mwa mwaka huu 2022 TU. Mwaka 2023,Bunge linapanga kupitisha $ 80B kwa ajili ya Ukraine.

Kabla ya kuanzisha Uzi jaribu kufuatilia kwanza,fedha zinaidhinishwa kwa mafungu na Serikali kutokana na mahitaji ya mda huo baada ya Kupitishwa na Mabunge yote Mawili. Mtaelimishwa mpaka lini nyie Vilaza?
 
Kumbe kuna mashehe wengine wanalewa vodka. Silaha alizokwisha pewa Ukraine na Marekani ni dola bilioni 9 sasa wewe hizo bilioni 60 unazitoa wapi.

Halafu wewe inaonekana hata hujui mfumo wa fedha ulivyo katika nchi za magharibi kinachofanya mambo ya ufisadi yasiwepo huko.

Hiyo hela ya ufisadi utaiweka kwenye akaunti gani katika benki gani na ktk nchi ipi. Wewe unaongea humu utakuta hata Uganda au Kenya hujawahi kukanyaga na pasi ya kusafiria unaionaga kwa wengine tu.
 
Nadhani hili ni dili! Ukraine inapewa silaha hewa halafu wajanja wanaweka fedha mfukoni!! Kuna taarifa ilitoka kuwa ni asilimia 30 tu ya silaha zinazotolewa na nchi za magharibi kwenda ukraine ndizo zinazowafikia walengwa!! Watoa kodi wa nchi za magharibi wanapigwa pakubwa sana!! Silaha za dola bilioni 60!! siyo mchezo kama kwelin zingefika huko!! Bajeti hiyo ni mara mbili ya ile ya Urusi katika kipindi hiki cha vita.

Kinachofanyika bila shaka watu wanaweka pesa kibindoni kwa kuwashirikisha Zelensky na watu wake wachache halafu silaha kiduchu tu ndo zinapelekwa huko!!

Ukraine has repeatedly argued that an uninterrupted flow of Western weapons are key to its survival on the battlefield. Since February, the US has approved more than $54 billion of economic and military aid to Ukraine, while the UK has committed nearly $3 billion in military aid alone, and the EU has spent another $2.5 billion on arms for Kiev.

Despite the influx of weapons, Ukrainian President Vladimir Zelensky remarked last week that his military remains outnumbered and outgunned by Russia’s. Describing the fighting in Donbass as “hell,” Zelensky appealed to the US and its allies for even more arms and equipment, particularly HIMARS multiple launch rocket systems.

70% of Western weapons sent to Ukraine don’t reach troops – CBS.​

With the US and its allies pledging unprecedented levels of military support to Ukraine, a recent CBS News report suggested that only around 30% of the weapons sent by the West actually make it to the front lines. The report adds to ongoing rumors of waste, corruption, and black market profiteering.
Una taabika na mimba kutokea wap?
 
Ajabu na kweli yaweza kuwa mchezo mchafu ana fanya beberu mkuu,kwafaida ya nataifa lake Kwa manufaa ya baadae,zinatumwa na kuzungushwa mara mbili mbili achilia Mbali zinazotoroshwa kimagendo Kwa manufaa ya walio uwanja wa mapambano,kujipunguzia machungu na kuwezesha mipango yao na kundi lao yaendelee,kukomaa kuchochea vita kunawanufaisha wengine 🤸
 
Back
Top Bottom