Pamoja na Kutolewa ila Simba SC imeiheshimisha nchi Waitwe Bungeni Kushukuriwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa.

Hongereni mno na Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC nyie ni Mashujaa wa Kutukuka Michezoni.
 
Hawa wachezaji wa kimataifa hawana msaada Simba.
Kamati ya usajiri ya Simba inafanya utapeli mwingi sana.

Out
Akpan
Okwa
Okra
Quattara
Mshahala wao mpeni Adebayo

Banda
Sawadogo
Onyango
Mshahala wao mpeni Manzoki

Nafasi ya Onyango atafutwe beki mtanzania tu. Anaweza akaanza kwanza Kennedy.
 
All in all Huyu golikipa wa Simba 🦁 hakua mzoefu na penalty....anazidiwa hata na MOHAMED MAKAKA wa mtibwa sugar.....kwenye kua tishio kwenye kuokoa penalty.............
Sijui kama mnanielewa....

Nauhakika AIR MANULA ange okoa hata mkwaju mmoja.....

Nimesikitiswa na kapombe kukosa penalty sio kawaida yake.....Ni mchezaji tunae tumia mguu mmoja.........alitakiwa apige ule upande mwingine.....

Chama alipiga penalty ya kidhaifu sana....Bora hata angepiga penalty ya ki Cameroon.....

Kwa sisi ambao tumetrain sanaa penalty tunajua kwenda kupiga penalty tayar ni Nusu goli......

Mm hata akiwekwa kipa namba Moja duniani hawezi cheza penalty yangu.....

Natamani golini ange kua Muhammad Mwameja.....

Matokeo yameniumiza sana tena sana ilikua ni lazima mmoja atoke ila nature imetuchagua sisi.....
nipo hapa najitahid ku cope with Experience's
 
Hawa wachezaji wa kimataifa hawana msaada Simba.
Kamati ya usajiri ya Simba inafanya utapeli mwingi sana.

Out
Akpan
Okwa
Okra
Mshahala wao mpeni Adebayo

Banda
Sawadogo
Onyango
Mshahala wao mpeni Manzoki

Nafasi ya Onyango atafutwe beki mtanzania tu. Anaweza akaanza kwanza Kennedy.
Mtoe Banda kwenyehiuo orodha aisee😠😠
 
Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa.

Hongereni mno na Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC nyie ni Mashujaa wa Kutukuka Michezoni.
Ushujaa upi? Check statistics za mchezo .....simba walizidiwa sana kimbinu
 
Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa.

Hongereni mno na Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC nyie ni Mashujaa wa Kutukuka Michezoni.
Sio mbaya.... anyway kombe ndio huleta heshima
 
Simple tu...
Big 4 ambao wapo Casablanca.

Al Ahly[emoji91]
Wydad Athletic Club[emoji736]
Raja Athletic Club[emoji91]
Simba SC[emoji735]

Simba SC tayari out, tuna subiri kati ya Al Ahly na Raja.

Usihuzunike sana kwa sababu huu ni muda wa wakubwa kuendelea na mashindano au kutolewa na mwisho wa siku mshindi wa jumla ni mmoja tu.

Hongera Simba SC, wachambuzi uchwara walisema mtapigwa 7+ kwa nunge.
 
Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa.

Hongereni mno na Asanteni sana Wachezaji wa Simba SC nyie ni Mashujaa wa Kutukuka Michezoni.
Kwa kuingia Robo Fainali ndo muitwe Bungeni!?

Mkuu punguza upompoma
 
Back
Top Bottom