All in all Huyu golikipa wa Simba [emoji881] hakua mzoefu na penalty....anazidiwa hata na MOHAMED MAKAKA wa mtibwa sugar.....kwenye kua tishio kwenye kuokoa penalty.............
Sijui kama mnanielewa....
Nauhakika AIR MANULA ange okoa hata mkwaju mmoja.....
Nimesikitiswa na kapombe kukosa penalty sio kawaida yake.....Ni mchezaji tunae tumia mguu mmoja.........alitakiwa apige ule upande mwingine.....
Chama alipiga penalty ya kidhaifu sana....Bora hata angepiga penalty ya ki Cameroon.....
Kwa sisi ambao tumetrain sanaa penalty tunajua kwenda kupiga penalty tayar ni Nusu goli......
Mm hata akiwekwa kipa namba Moja duniani hawezi cheza penalty yangu.....
Natamani golini ange kua Muhammad Mwameja.....
Matokeo yameniumiza sana tena sana ilikua ni lazima mmoja atoke ila nature imetuchagua sisi.....
nipo hapa najitahid ku cope with Experience's